Uongozi wa songea boys wafanya uonezi wa kupindukia kwa wanafunzi

Uongozi wa songea boys wafanya uonezi wa kupindukia kwa wanafunzi

Mi dogo kakutwa na ki bati cha lain
.
Kaingizwa mkengeni nae yaani duuuu
.
 
Kaka we ulikuia mtoto wa mama pale temu ya kwanza nilipata shida hiyo nilivorudi nikatafuta kacheo kangu ka kuzugia basi hizo kwangu kero nlikua nazisikia kwa watu, kilanja akileta za kuleta we ndo unamwazibu kabla hajakupeleka kwa nyanvi, nimesoma boys pamoja na fujo zangu sijawai onywa hata na mwalimu wa darasa, nilikua azimio5 boys peponi

mkuu kwa nyamvi ilikua mwaka gan maana enz zle tulitumia sana simu kucharge dh au pale hgl au unaenda ofis ya kiranja wa msos pale karbia na clas la egm!! mi nlikua azimio 4 getin kabisa
 
Back
Top Bottom