Uongozi wa SUA wasababisha majonzi kwa wanafunzi wa ESM na BRD kwa kuwafutia boom la quarter two huku wakilazishwa kwenda field

Uongozi wa SUA wasababisha majonzi kwa wanafunzi wa ESM na BRD kwa kuwafutia boom la quarter two huku wakilazishwa kwenda field

Mr Issa Mussa

Member
Joined
Oct 6, 2020
Posts
11
Reaction score
11
Uzi huu nimeamua kufikisha jamvin kwa lengo la kuonyesha njinsi Uongoz wa SUA unavyofanya mambo kwa kutokutafakari kwa kina kama Ifuatavyo;

Hivi punde uongoz umechukua maamuz ya kuwafutia pesa ya boom wanafunzi wa Esm na Brd huku wakilazimishwa kwenda field mwez wa pili wakati idadi kubwa ya wanafunzi hawana pesa za kujikimu huko waendako, pia wengi wao boom ilikiwa tegemez ktk kulipa ada na chakushangaza board ilisha toa allocation ya quoter two
 
Mambo yamebadilika sana.
Sasa kuna wat wengine wampepunguziwa kiasi cha ada walichokuwa wanalipiwa na loan board, na mengine mingi michinjo imepita sio kwa sua tu.
 
Elimu kusoma na mawazo, hofu, kutokukaa kwa amani.. haitakiwi..

sababu gani wametoa za kutowapatia?
 
Miaka ile board waliponinyima mkopo nilijiona kama nimetengwa na Dunia, nilikua nawaona washkaji wanakula good time, week end ni bash, beach party, sijui mambo gani mimi nimetoa macho kama mtu alieshikwa ugoni. Nilikua naishi kwa machale kama mjusi.

Maisha kama kamari, leo nachekelea meno yooote nje, washkaji wanalipa wanamaliza deni jipya linaibuka, wanalipa likiisha linaibuka lingine, ni endless deni labda ulipe lote siku moja at once ndio utanusurika na retention fee.

Waliokua wanacheka sasa wanalia, kweli maisha mzunguko 😂
 
Enzi zetu Mkwere akiwa Suka akizingua kidogo tunakutana Rev square. Mzigoo unaingia.

Kwa ngosha msijaribu kutunisha misuli live, atafukuza chuo kizima bila huruma.

Mtachapika na kupewa kesi lukuki.

Wakati mnalalamika mtandaoni anzeni kubeba mabegi.
 
Uzi huu nimeamua kufikisha jamvin kwa lengo la kuonyesha njinsi Uongoz wa SUA unavyofanya mambo kwa kutokutafakari kwa kina kama Ifuatavyo;

Hivi punde uongoz umechukua maamuz ya kuwafutia pesa ya boom wanafunzi wa Esm na Brd huku wakilazimishwa kwenda field mwez wa pili wakati idadi kubwa ya wanafunzi hawana pesa za kujikimu huko waendako, pia wengi wao boom ilikiwa tegemez ktk kulipa ada na chakushangaza board ilisha toa allocation ya quoter two
Mkuu na wewe uko chuo kikuu kweli?

Toka lini SUA ikazuia mkopo wa mtu?

Mbona unasema sua mara unasema loan board mbona hueleweki?
 
Miaka ile board waliponinyima mkopo nilijiona kama nimetengwa na Dunia, nilikua nawaona washkaji wanakula good time, week end ni bash, beach party, sijui mambo gani mimi nimetoa macho kama mtu alieshikwa ugoni. Nilikua naishi kwa machale kama mjusi.

Maisha kama kamari, leo nachekelea meno yooote nje, washkaji wanalipa wanamaliza deni jipya linaibuka, wanalipa likiisha linaibuka lingine, ni endless deni labda ulipe lote siku moja at once ndio utanusurika na retention fee.

Waliokua wanacheka sasa wanalia, kweli maisha mzunguko 😂
Eeh maisha kama Gwaride, changamoto huwa hazidumu ni mapito tu ya mda mchache kaka.
 
Iphone byebye,ila hata Tecno sio mbaya kivile,welcome to the club guys...
 
Acheni kuzusha mambo, kama loan board wameisha kupa mkopo chuo kina mamlaka gani ya kuondoa/au kufuta mkopo? suala la kwenda field mwezi wa pili linashaka pia...semester inaisha mwezi wa pili mwishoni...unasema mmeambiwa muende field mwezi wa pili...inamaana mtaenda kabla semester haijaisha? Na hata kama ni kweli mbona hata wanaosoma degree ya Utalii pia wataenda field mapema kuliko ilivyozoeleka? acheni kutafuta huruma kwa kusingizia uongozi.....
 
Maamuzi yalishatenguliwa, na sasa kila mnufaika kutoka chuo Cha SUA atapokea pesa zake Kama kawaida.
 
Back
Top Bottom