Mr Issa Mussa
Member
- Oct 6, 2020
- 11
- 11
DahKwani lazma msome acheni ujinga njooni mbebe zege na kupiga nyundo site achananeni na hyo mambo
Eeeeenh hapa kazi ytu kama umeamua kusoma ww soma tu usianze kulalama
Sua haitoi mikopo, hilo swali unatakiwa uiulize serikali ya magufuli.Elimu kusoma na mawazo, hofu, kutokukaa kwa amani.. haitakiwi..
sababu gani wametoa za kutowapatia?
Mkuu na wewe uko chuo kikuu kweli?Uzi huu nimeamua kufikisha jamvin kwa lengo la kuonyesha njinsi Uongoz wa SUA unavyofanya mambo kwa kutokutafakari kwa kina kama Ifuatavyo;
Hivi punde uongoz umechukua maamuz ya kuwafutia pesa ya boom wanafunzi wa Esm na Brd huku wakilazimishwa kwenda field mwez wa pili wakati idadi kubwa ya wanafunzi hawana pesa za kujikimu huko waendako, pia wengi wao boom ilikiwa tegemez ktk kulipa ada na chakushangaza board ilisha toa allocation ya quoter two
Eeh maisha kama Gwaride, changamoto huwa hazidumu ni mapito tu ya mda mchache kaka.Miaka ile board waliponinyima mkopo nilijiona kama nimetengwa na Dunia, nilikua nawaona washkaji wanakula good time, week end ni bash, beach party, sijui mambo gani mimi nimetoa macho kama mtu alieshikwa ugoni. Nilikua naishi kwa machale kama mjusi.
Maisha kama kamari, leo nachekelea meno yooote nje, washkaji wanalipa wanamaliza deni jipya linaibuka, wanalipa likiisha linaibuka lingine, ni endless deni labda ulipe lote siku moja at once ndio utanusurika na retention fee.
Waliokua wanacheka sasa wanalia, kweli maisha mzunguko 😂