Uongozi wa Hospitali ya JKCI - Dar Group watumishi wenu wanawakumbusha kuwa wamekua wenye subra na wavumilivu sanaa huku wakitumiza wajibu wao kikamilifu bila motisha, awali ya yote mrejee ahadi zenu na utaratibu/miongozo ya taasisi JKCI juu ya malipo ya incentive kwa watumishi wote.
01. REFERENCE - Upande wa JKCI HQ watumishi wanapata incentive japo kwasasa zinakatwa sanaa tofaut kipindi cha nyuma wakati wa Profesa.
2. Kwa upande wa JKCI - Dar Group hali ni tofauti watumishi hawapati incentive ilihali mpango wa taasisi juu ya incentive upo wazi pia ukirejea ahadi za Mkurugenzi Mkuu kuwa ilitakiwa watumishi walipwe incentive kipindi walipopata Cheque Namba lakini hali imekuwa tofauti ni mwaka sasa watumishi hawalipwi?
3. Kwanini kuna ubaguzi na upendelei mkubwa sana, yaani watumishi wote wanaofanya kazi Dar Group waliotokea HQ wanalipwa incentive ilihali wenzao wanaofanya nao kazi sehemu moja idara moja hawalipwi? KWANINI MUWALIPE WALIOTOKEA HQ TU ILIHALI WA DAR GROUP HAWALIPWI NA WANAFANYA KAZI PAMOJA? WHAT IS SO SPECIAL KWA WANAOLIPWA? ILIHALI WOTE NI WATUMISHI WA UMMA, IS IT FAIR?
4. Kuna mentality ya ubaguzi na upendeleo na kujiona kuwa watumishi fulani ni bora kuliko wengine, ilihali watumishi wote wa Dar Group ndiyo nguzo na msingi wa uchapakazi na uzalishaji wa mapato/pesa mnayogawana watu wachache hivi kwaajili ya kawaida Daktari anayemuona mgonjwa umlipe incentive halafu mtu wa maabara, nurses, pharmacy na kada zingine wanaompima, kumuuguza na kumuhudumia mgonjwa huyohuyo USIWALIPE incentive!? How comes? Why double standards.
5. Hata upande wa viongozi pia mna ubaguzi mnaleta watu wenu kwa upendeleo na wote mnawatoa HQ kuwaleta Dar Group kama vile Dar Group ni koloni, na hao mnaowaleta ni kwa lengo la kuwaminya na kuzuia maslahi ya watumishi wa Dar Group ilihali wao wanapata.
6. Uongozi punguzeni mikakati/miradi ya kisiasa ambayo inaongeza idadi tu bila ufanisi wa kujiendesha mfano kuanzisha ma-brach mengi ambayo kiuhalisia hayawezi kujiendesha na badala yake yanakuwa mzigo kwa taasisi, mfano kwasasa kuna baadhi ya dawa hazipo pharmacy, kuna vipimo maabara hazifanyiki sababu tu ya reagent na vitendea kazi hakuna, X-Ray machine yenu imechoka sana haina ubora na ina hatari ya mionzi kwa wagonjwa na watumishi.
7. Kama hospitali inaingiza pato kubwa inajiendesha na kujimudu lakin inabebeshwa mzigo mkubwa wa njee , mfano nguvu inatumika kufufua Serian ya Arusha kwanini isitumike kununua vifaa tiba, dawa za sehemu husika, kumbuka investment mnayofanya huko itabaki kuwa mali ya huko baada ya miaka 20.
8. Viongozi mnaolipwa posho za majukumu na incentive mnalipwa nyie na wa HQ tu basi timizeni wajibu wenu kwa watumishi mfano hili suala la incentive lilikua limeahidiwa na Mkurugenzi na walitarajia kuanza kulipwa mwezi uliopita - August lakini umepita kavu na hakuna official statement au ufafanuzi iliotoka ktk uongoz mmeonesha dharau na kutojali watumishi ,sasa matokeo yake ndio haya mtajibu na kutoa taarifa baada ya kupostiwa mitandaoni (failure hili suala mlikua mnali solve ndani).
9. Pia mnaubaguzi ktk training, seminar na outreach yaan hizi mnapeana watu wale wale tu na wengine wapo ktk list wanalipwa ilihali outreach hawaendi, kwa watumishi wengi hata yale mafunzo (CME) compulsory yanayotakiwa kuwa funded na taasisi hawaendi na wakienda ni kwa kuforce wajilipie na kuwarudishia gharama mnakua wagumu na wasumbufu.
10. All in all watumishi wote wa JKCI wana malalamiko na masikitiko makubwa, HQ mnawakata posho zao & Dar Group ndio kilio morale ipo chini ,maana mnawafanyia dhulma na ubaguzi, walipwe stahiki zao za incentive kuanzia August na kuendelea asap.
Note: Kumbukeni wote ni Watumishi wa Umma chini ya sheria na miongozo sawa, acheni ubaguzi na uchoyo, ni mali ya umma msijisahau hamna hisa wala umiliki, kila mtu anapita tu hamtadumu milele, kuweni watu wa haki na usawa.