Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Inafaa kuletewa mfaransa 😂🏃🏃Ngozi nyeusi isikie tu.
DaaaahShirika lishajifia muda tu,hata kuendeshwa linaendeshwa Kwa hasara ndo maana imefikia maeneo yao mengi,wameuza na wanaendelea kuuza kama vile maghorofa yale ya veterinari ambapo yamechukuliwa na kampuni ya afya(watercom) na maeneo ya sandali karibia na kiwalani Kwa binti musa,zilipojengwa bandari kavu
Bila mwekezaji haiwezekani !Inafaa kuletewa mfaransa 😂🏃🏃
Hamna ofisi hapo sahiv limebaki pagara tu vyoo vyao tu UTI hii hapa ukitaka kuamin nenda kapande treni yao pale tazara utajionea ya kusikitishaView attachment 2762009
Tazara Makao Makuu Dar es salaam ilikuwa sehemu nzuri sana ya kupendeza , na hasa usiku , kwa yale mataa mazuri yaliyozunguka ofisi hizo , inasemekana yaliwekwa na Wachina .
Sasa inaonekana yote ni kama yamezima kutokana na balbu kuungua , yapo yaliyozima yapata miaka 10 sasa , yaani kubadili balbu kunachukua miaka zaidi ya 10 ! hii ni aibu kubwa kwa uongozi wa shirika hilo .
Ikiiwa shirika kubwa kama hili linashindwa jambo dogo kama hili litaweza nini ?
Noma sanaKati ya ndoa ambazo sijawahi kuzielewa hapa duniani, basi ni hii ndoa ya Tanzania na Zambia kwenye hili shirika, na ile ya Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar.
I wish ningekuwa Rais, hakika ningetafuta namna nzuri ili kila nchi ijitegemee kwenye uendeshaji wa shirika/nchi yake. Hii ingepunguza mambo ya kutegeana na pia ukupe.
Ni Habari tupu!!View attachment 2762009
Tazara Makao Makuu Dar es salaam ilikuwa sehemu nzuri sana ya kupendeza , na hasa usiku , kwa yale mataa mazuri yaliyozunguka ofisi hizo , inasemekana yaliwekwa na Wachina .
Sasa inaonekana yote ni kama yamezima kutokana na balbu kuungua , yapo yaliyozima yapata miaka 10 sasa , yaani kubadili balbu kunachukua miaka zaidi ya 10 ! hii ni aibu kubwa kwa uongozi wa shirika hilo .
Ikiiwa shirika kubwa kama hili linashindwa jambo dogo kama hili litaweza nini ?
Acha ujinga! Ukweli use we Hali ya pale ni hoi.Inaonekana ulikuwa kwenye foleni apo kwenye mataa ukakosa kazi ya kufanya sio
Tatizo ni wachina hawakuacha maelekezo, na siku wakibadili hizo taa zilizoungua msije mkalalamika kuwa haiwezekani balbu moja inunuliwe kwa shilingi laki nane mkisahau hizo ni taa za stesheni ya treni.View attachment 2762009