Uongozi wa udoso(udom) mnafanya nini?? Kwanini msijiuzulu wenyewe??

Uongozi wa udoso(udom) mnafanya nini?? Kwanini msijiuzulu wenyewe??

kassimu

New Member
Joined
Jan 20, 2013
Posts
2
Reaction score
2
Viongozi wa UDOSO mnasubiri nini kujiuzulu?wanafunzi wa UDOM wanaishi bila mikopo kwa zaidi ya miezi mitatu chuoni na wakati nyie mpo??kama mmeshindwa kutatua matatizo ya wanafunzi wenu waliowaweka madarakani kuna haja gani ya kuendelea kushikilia nyadhifa hizo?RAISI WA UDOSO unawezaje kujitapa mbele ya jamii eti we ni kiongozi??wanafunzi wanawezaje kuishi bila mikopo(BOOM) kwa kipindi hicho chote na akaweza kumudu masomo yake vizuri??Waziri wa mikopo UDOM unawezaje kujiita WAZIRI na wakati unaona haki za wenzako zinapokonywa??kiongozi unawezaje kuwa KILAZA kiasi hiki??eti unaogopa kusimamishwa masomo???UNAMWOGOPA NANI??MLACHA??MSOFE??KIKULA??MKAPA??PROF.LWOGA??MKURUGENZI WA BODI YA MIKOPO??KUNA HAJA GANI YA WANAFUNZI WA UDOM KUENDELEA KUTOZWA HELA YA UDOSO NA WAKATI WANAFUNZI WAKIENDELEA KUTAABIKA NA MATATIZO BILA SABABU YA MSINGI??WANAFUNZI WANAFUKUZWA ETI KISA WAMEUDHURIA MIKUTANO YA VYAMA NJE YA CHUO HAFU UONGOZI WA UDOSO UNABAKI KUMBWERA TU??ARE YOU REAL LEADERS?ARE YOU REAL UNIVERSITY STUDENTS??ARE YOUR MINDS FUNCTIONING PROPERLY??DO YOU BERIEVE ON GOD??ARE YOU REALLY TANZANIANS?YOU BARBARIC,UNCOUTH .PEOPLE ARE GROWNUP BUT ACTING LIKE RUNATICS!ANY LEADER SHOULD BE CAPABLE OF TAKING RISKS!!IT IS SOMING AMAZING TO SEE STUDENTS SUFFERING HUNGER AND OTHER TORTURES WHILE THEIR ARE STAYING ENJOYING THEMSELVES!!KWANINI UDOSO MSIACHIE NGAZI??IT IS SOMETHING AMAZING AND MUCH BORING!FOR SURE MTAKUWA HAMUAMINI KATIKA MTUME MOHAMED WA
 
English pia tatizo hapa! Milugo kibao. Loan board watatoa majina wiki ijayo. Hili ni nje ya uwezo wa UDOSO pia UDOM
 
at least umeliona mkuu, these people are useless i can tell, n bora kuishi chuon bila uongozi siyo kuongozwa na watu ambao hawatekelezi majukumu yao.
 
Hilo chuo la kata bora nimemaliza zangu maana cjawahi ona chuo chenye UDOSO ya kijinga kama UDOM,eti chuo wanafunzi wanafukuzwa kwa kukutwa kwenye daladala na gwanda za chadema zen udoso kimya
 
Back
Top Bottom