jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Wito wangu kwa uongozi wa Yanga ni mmoja tu.
wawe waadilifu na kuhakikisha Yanga inarejea kwenye hali yake ya kawaida.
Uhujumu dhidi ya timu hauwezi kubadilisha msimamo wa Serikali dhidi ya ufisadi wa wafadhili wake.
mbinu za kuihujumu timu ili kumfanya fisadi aonekane ni mwema hautasaidia kamwe na badala yake utavuta vyombo vya Serikali kuchunguza juu ya ufisadi ndani ya Yanga kwa nguvu zaidi.