Uongozi wa Yanga acheni kuhujumu timu ili fisadi aonekane wa maana!

Uongozi wa Yanga acheni kuhujumu timu ili fisadi aonekane wa maana!

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Wito wangu kwa uongozi wa Yanga ni mmoja tu.
wawe waadilifu na kuhakikisha Yanga inarejea kwenye hali yake ya kawaida.

Uhujumu dhidi ya timu hauwezi kubadilisha msimamo wa Serikali dhidi ya ufisadi wa wafadhili wake.

mbinu za kuihujumu timu ili kumfanya fisadi aonekane ni mwema hautasaidia kamwe na badala yake utavuta vyombo vya Serikali kuchunguza juu ya ufisadi ndani ya Yanga kwa nguvu zaidi.
 
Hawa ndala fc wanarudi enzi za old Stone age!

Hivi ngassa ana miaka mingapi hasa???
 
Wito wangu kwa uongozi wa Yanga ni mmoja tu.
wawe waadilifu na kuhakikisha Yanga inarejea kwenye hali yake ya kawaida.

Uhujumu dhidi ya timu hauwezi kubadilisha msimamo wa Serikali dhidi ya ufisadi wa wafadhili wake.

mbinu za kuihujumu timu ili kumfanya fisadi aonekane ni mwema hautasaidia kamwe na badala yake utavuta vyombo vya Serikali kuchunguza juu ya ufisadi ndani ya Yanga kwa nguvu zaidi.
Una arguments za kitoto sana wew.
 
Simba na Yanga inabidi zijitegemee. Kwa sasa Simba wanaicheka Yanga kwa sababu wakubwa wa bongoland ni mashabiki wa timu yao.

Kibao kikigeuka awepo juu kabisa mtu wa jangwani basi Mo Dewji ataiona TZ chungu. Hizi timu zinastahili kuwa tajiri ni maskini kwa sababu wanaoshinda nazo muda wote hawana akili za kimaendeleo.

Uwepo wa hawa wenye asili ya kiasia huwa unatudanganya sisi waswahili, wakiondoka ndio tunagundua kuwa nguo ya kuazima haisitiri........
 
Hivi kuna fisadi papa kumzidi yule aliyeiba 1.51T? Kama Manji ni fisadi mbona hajafungwa na hiyo mahakama yenu ya mafisadi?
 
Suala ni Pesa na siyo uasili!!
Wenye hiyo asili ndio huwa wenye pesa ambao angalau huheshimiwa na wanachama wengi. Wale wenye asili yetu ya kibantu huwa wanapewa muda mchache sana wa kutimiza malengo yao.

Mfano hai ni mzee Reginald Abraham Mengi namna alivyodharauliwa, wakati wazo lake miaka ile ndilo hili linalofanyiwa kazi ndani ya Simba kwa sasa.
 
Mfano hai ni mzee Reginald Abraham Mengi namna alivyodharauliwa, wakati wazo lake miaka ile ndilo hili linalofanyiwa kazi ndani ya Simba kwa sasa.
Wanasiasa wa CCM ndiyo waliochagiza kudharauliwa kwa Mengi, Kumbukumbu zipo. Kwani hujui kwamba hata hao waasia kama Manji leo hii wananyanyapaliwa na kudharauliwa kutokana na ujinga wa wanasiasa wa CCM?
 
Back
Top Bottom