Una arguments za kitoto sana wew.Wito wangu kwa uongozi wa Yanga ni mmoja tu.
wawe waadilifu na kuhakikisha Yanga inarejea kwenye hali yake ya kawaida.
Uhujumu dhidi ya timu hauwezi kubadilisha msimamo wa Serikali dhidi ya ufisadi wa wafadhili wake.
mbinu za kuihujumu timu ili kumfanya fisadi aonekane ni mwema hautasaidia kamwe na badala yake utavuta vyombo vya Serikali kuchunguza juu ya ufisadi ndani ya Yanga kwa nguvu zaidi.
Rubbish.we ndo kasuku mpiga domo kama wanawake wa VINGUNGUTI konaHii ni story ya kasuku ...kiki ya msimu iliyopitwa na muda
unachotakiwa kumjibu Papushikashi kama ni yeye ama siyo yeye!Hii ni story ya kasuku ...kiki ya msimu iliyopitwa na muda
Turejee kwenye mada ya msingiunachotakiwa kumjibu Papushikashi kama ni yeye ama siyo yeye!
Suala ni Pesa na siyo uasili!!Uwepo wa hawa wenye asili ya kiasia huwa unatudanganya sisi waswahili, wakiondoka ndio tunagundua kuwa nguo ya kuazima haisitiri........
Kwa kuwa hujamtaja huyo "fisadi" umefungua njia kwa watu kama kina Papushikashi kutaja mafisadi wanaowajua. Mtaje ili watu warudi kwenye mada!!Turejee kwenye mada ya msingi
Wenye hiyo asili ndio huwa wenye pesa ambao angalau huheshimiwa na wanachama wengi. Wale wenye asili yetu ya kibantu huwa wanapewa muda mchache sana wa kutimiza malengo yao.Suala ni Pesa na siyo uasili!!
hahahaha Ngassa..in the house..kaenda kufundisha au kurudia kucheza...?Hawa ndala fc wanarudi enzi za old Stone age!
Hivi ngassa ana miaka mingapi hasa???
Wanasiasa wa CCM ndiyo waliochagiza kudharauliwa kwa Mengi, Kumbukumbu zipo. Kwani hujui kwamba hata hao waasia kama Manji leo hii wananyanyapaliwa na kudharauliwa kutokana na ujinga wa wanasiasa wa CCM?Mfano hai ni mzee Reginald Abraham Mengi namna alivyodharauliwa, wakati wazo lake miaka ile ndilo hili linalofanyiwa kazi ndani ya Simba kwa sasa.
Ferguson alimsajili Michael Owen akitokea Madrid umri km wa ngasa.Hawa ndala fc wanarudi enzi za old Stone age!
Hivi ngassa ana miaka mingapi hasa???