Uongozi wa Yanga FC wafundisheni Wachezaji wenu Kula na Kujisaidia Kistaarabu na Kizungu si kama walivyofanya jana pale Serena Hotel

Jitahidi kila mara kumuomba Kocha wenu Mwinyi Zahera kuwa akiwa anamaliza Kuwapa Mazoezi ya Uwanjani Wachezaji wake basi awe pia anawaingiza Darasani ili awafundishe pia namna ya Kula Chakula na Kujisaidia Kistaarabu tofauti na walivyofanya Jana.

Nimekutana Wafanyakazi kadhaa wa hapo ( Majina yao nayahifadhi ) huku wengi Wao wakiwa wamefura / wamekasirika kabisa huku wakisema kuwa jana Wachezaji wa Yanga FC wengi Wao wakati wanakula wamedondosha sana Vyakula Sakafuni, huku wengine wakilamba na kukomboleza Sahani zao waziwazi kwa Ulimi na kwamba yupo Mchezaji Mmoja kwa Ugeni wake wa mambo haya ambayo Wachezaji wa Simba FC wameshayazoea kwa ' Ushamba / Umbwigira ' wake alimimina Pilipili iliyosagwa katika Glasi akidhani ni Juice ya Passion na hadi hivi sasa inasemakana hajitambui na sina uhakika kama hata Mechi mbili zilizobaki atacheza kwani kwa Uroho wake uliotukuka ' aliibugia ' ile Pilipili yote ambayo hivi sasa inafanya Kazi yake vyema tu Tumboni Kwake.

Hiyo Tisa / Kenda na Kumi ni kwamba hadi hivi sasa kuna baadhi ya Wafanyakazi wa hiyo Hoteli wamegoma Kusafisha Vyoo / Maliwato yaliyotumiwa na Wachezaji wa Yanga FC kwani inasemekana kwa ' Kufakamia ' Kwao Vyakula ambavyo hawajavizoea kama vilivyozoeleka na Wachezaji wa Simba FC wengi Wao wameacha ' Mizigo ' isiyovumilika katika Maliwato / Vyoo vya Hoteli hiyo ila ' Mizigo ' iliyoacha gumzo ' Kiharufu ' ni ya Tambwe, Kaseke, Kindoki na Kidooooooogo cha Papaaa Mutu ya Watu Kocha Zahera.

Na nyie wenye hiyo Hotel haya mmejitakia wenyewe Watu wamezoea kwenda Kulala na Kustarehe Hoteli za Tandale na Manzese leo kweli mnawaalika hapo ' Uzunguni ' Kwenu nyie si mmejitakia tu hii Karaha? Siku zingine kwenye hiyo Hoteli yenu waalikeni tu Wachezaji wa Simba FC ammbao wanajitambua na wanaishi ' Kizungu ' tu kwa muda mrefu sasa na ambao kwa mujibu wa Wafanyakazi wengi wa Hoteli Kubwa Kubwa za Tanzania wamekuwa wakiwasifia kuwa ni Wastaarabu mno.

Wewe Bichwa tu la Tambwe liko Kubwa vile sasa unadhani akiteremsha ' Mzigo ' wake Maliwatoni / Chooni huko kutakuwaje? Poleni sana na mno Wafanyakazi wa hiyo Hotel na bado hamjachelewa kupeleka Malalamiko yenu Shirikishoni ili kufanyike Utaratibu wa Yanga FC kupigwa Faini ili Siku zingine wajifunze na ikibidi wabadilike pia.

Nawasilisha.
Wakati wenzao wanapambana kutwaa ubingwa wao wanaharisha Serena Hotel
 
Story tu si poa, ungeweka na picha ya mavi au jamaa wakinya. Kweli Yanga ni watoto wa Mze Malecela, hawana tofauti kabisa na uchafu waufanyao ndugu zao huko kwao (ugogoni)
 
Inabidi hao wafanyakazi watunukiwe japo vyeti vya ugunduzi kwa kuweza kugundua mizigo ya watu eg. huu wa tambwe, huu wa kindoki, huu wa zahera pamoja na harufu yako.
 
Una matatizo sana wewe mjuaji, huenda hata Serena Hotel hujui ilipo acha kuingia.
 
Ni kama gari ambalo limezoea kunywa lita 5 za mafuta na siku umeliwekea full tank unaweza kustuka likaanza kurudi nyuma badala ya kwenda mbele.
 
Back
Top Bottom