Uongozi wa Yanga kama unafikiria kurudisha ma EX, basi chukua Miloud badala ya Nabi

Smt016

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2016
Posts
3,689
Reaction score
5,497
Kocha Miloud Hamdi huyu ni bonge la kocha katika upande wa mbinu na ufundi sijui hata ikawaje kaachwa kizembe.

Azam walipigwa msako pamoja na kutokuwepo kwa Khalid Aucho ila Yanga ilishinda.

Nabi alifanya vizuri akiwa Yanga, ila katika kimbinu, falsafa, ufundi na kuweza game approach kupitia rasilimali zilizopo Miloud yupo vizuri sana. Huyu ndiye EX sahihi kuliko Nabi.
 
vilio vimekuwa vingi kutoka Aviola fc kuhusu Nabi, kumbe wanamuogopa😀😀
 
vilio vimekuwa vingi kutoka Aviola fc kuhusu Nabi, kumbe wanamuogopa[emoji3][emoji3]
Mimi ni shabiki wa Yanga, Nabi kapita Yanga na Miloud kapita Yanga ila Miloud ni mwamba yule. No Aucho no problem yule jamaa. Leo hii tunaona pengo la Aucho wakati Azam alikandamizwa goli mbili na mpira mkubwa bila uwepo wa Aucho. Na mwishoni Aziz Ki akaondoka Yanga ila yule mwamba kamaliza msimu kwa kishindo kama vile Azizi Ki hakuwa na umuhimu vile (timu haikuteteleka)
 
Kocha Miloud Hamdi huyu ni bonge la kocha katika upande wa mbinu na ufundi sijui hata ikawaje kaachwa kizembe.

Azam walipigwa msako pamoja na kutokuwepo kwa Khalid Aucho ila Yanga ilishinda.

Nabi alifanya vizuri akiwa Yanga, ila katika kimbinu, falsafa, ufundi na kuweza game approach kupitia rasilimali zilizopo Miloud yupo vizuri sana. Huyu ndiye EX sahihi kuliko Nabi.
Nakuunga mkono 100%
 
Mimi ni shabiki wa Yanga, Nabi kapita Yanga na Miloud kapita Yanga ila Miloud ni mwamba yule. No Aucho no problem yule jamaa. Leo hii tunaona pengo la Aucho wakati Azam alikandamizwa goli mbili na mpira mkubwa bila uwepo wa Aucho. Na mwishoni Aziz Ki akaondoka Yanga ila yule mwamba kamaliza msimu kwa kishindo kama vile Azizi Ki hakuwa na umuhimu vile (timu haikuteteleka)
Kama wewe ni shabiki wa Yanga basi hujui mpira!

Kawaulize wa Morocco kuhusu Nabi watakuelezea sifa zake!
 
Miloud Yanga haijamuachia,wale ismailia walimpandia dau kubwa mno ambalo Yanga wasingeweza kumpa,nabi nae sio mwalimu mbaya
 
Kazi kubwa ya kujenga timu na kutengeneza culture ya kupambana mjenzi ni Nabi, hao wengine walikuwa wananufaika tu na kazi aliyokwisha ijenga mkuu
Hiyo dhana haina uhalisia, angalia Man united iliyoongozwa na Sir Alex Ferguson kwa zaidi ya miaka 20 je nini kilitokea baada ya David Moyes kupewa timu?
Mfano wa pili ni hapa hapa Yanga kwa huyu Folz ambaye watangulizi wake walifanya vyema wachezaji wakichezs kwa maelewano ya hali ya juu.
 
Naona mashabiki wa Simba mnahaha kusikia Nabi akirudi Yanga.

Nabi ni mwalimu mzuri ila kwangu Gamondi was better. Ningefurahi kama angerudi.
 
Kwako raisi wetu msikivu Bwa. Hersi tunamtaka kocha wetu huyuhuyu bwana foloz tena tunampenda sana
 
Kama wewe ni shabiki wa Yanga basi hujui mpira!

Kawaulize wa Morocco kuhusu Nabi watakuelezea sifa zake!
alipata mafanikio gani huko morocco!? AS FAR iligeuzwa kuwa Arsenyau ya arteta mpira mwingi ila second runner. hakupata hata kikombe cha uji
 
Kama wewe ni shabiki wa Yanga basi hujui mpira!

Kawaulize wa Morocco kuhusu Nabi watakuelezea sifa zake!
Naona ume edit kauli yako uliyosema kuwa makocha waliopita walikuwa wanatembelea kivuli cha Nabi baada ya kukupa mifano ya miwili ya Folz kwa Yanga na David Moyes kwa Man united.
 
Mimi ukiniwekea hawa makocha watatu:-
1. Nabi
2. Gamondi
3. Miloud
Hakika nitamchagua Miloud kuwa kocha wa timu yangu. Huyu mwamba amekaa Yanga kwa muda mfupi, lakini alifanikiwa sana kutengeneza Chemistry bora kuwahi kutokea. I wish angebakia msimu huu ili amalizie pale alipoishia msimu uliopita.

All in all, makocha wote ni wazuri. Na wamefanya mambo makubwa ndani ya klabu ya Yanga.
 
Naona mashabiki wa Simba mnahaha kusikia Nabi akirudi Yanga.

Nabi ni mwalimu mzuri ila kwangu Gamondi was better. Ningefurahi kama angerudi.

Naona mashabiki wa Simba mnahaha kusikia Nabi akirudi Yanga.

Nabi ni mwalimu mzuri ila kwangu Gamondi was better. Ningefurahi kama angerudi.
Gamondi zilikua zinapigwa pasi nyie
 
Mimi ni shabiki wa Yanga, Nabi kapita Yanga na Miloud kapita Yanga ila Miloud ni mwamba yule. No Aucho no problem yule jamaa. Leo hii tunaona pengo la Aucho wakati Azam alikandamizwa goli mbili na mpira mkubwa bila uwepo wa Aucho. Na mwishoni Aziz Ki akaondoka Yanga ila yule mwamba kamaliza msimu kwa kishindo kama vile Azizi Ki hakuwa na umuhimu vile (timu haikuteteleka)
Nakubaliana na wewe, Nabi alianza slow sana, ni vile tu alipewa muda kinyume na hapo angefukuzwa. Sina uhakika kama ni kocha anaeweza kupeta impact ndani ya mfupi.
 
Back
Top Bottom