vilio vimekuwa vingi kutoka Aviola fc kuhusu Nabi, kumbe wanamuogopa😀😀Kocha Miloud Hamdi huyu ni bonge la kocha katika upande wa mbinu na ufundi sijui hata ikawaje kaachwa kizembe.
Azam walipigwa msako pamoja na kutokuwepo kwa Khalid Aucho ila Yanga ilishinda.
Nabi alifanya vizuri akiwa Yanga, ila katika kimbinu, falsafa, ufundi na kuweza game approach kupitia rasilimali zilizopo Miloud yupo vizuri sana. Huyu ndiye EX sahihi kuliko Nabi.
Mimi ni shabiki wa Yanga, Nabi kapita Yanga na Miloud kapita Yanga ila Miloud ni mwamba yule. No Aucho no problem yule jamaa. Leo hii tunaona pengo la Aucho wakati Azam alikandamizwa goli mbili na mpira mkubwa bila uwepo wa Aucho. Na mwishoni Aziz Ki akaondoka Yanga ila yule mwamba kamaliza msimu kwa kishindo kama vile Azizi Ki hakuwa na umuhimu vile (timu haikuteteleka)vilio vimekuwa vingi kutoka Aviola fc kuhusu Nabi, kumbe wanamuogopa[emoji3][emoji3]
Nakuunga mkono 100%Kocha Miloud Hamdi huyu ni bonge la kocha katika upande wa mbinu na ufundi sijui hata ikawaje kaachwa kizembe.
Azam walipigwa msako pamoja na kutokuwepo kwa Khalid Aucho ila Yanga ilishinda.
Nabi alifanya vizuri akiwa Yanga, ila katika kimbinu, falsafa, ufundi na kuweza game approach kupitia rasilimali zilizopo Miloud yupo vizuri sana. Huyu ndiye EX sahihi kuliko Nabi.
Kama wewe ni shabiki wa Yanga basi hujui mpira!Mimi ni shabiki wa Yanga, Nabi kapita Yanga na Miloud kapita Yanga ila Miloud ni mwamba yule. No Aucho no problem yule jamaa. Leo hii tunaona pengo la Aucho wakati Azam alikandamizwa goli mbili na mpira mkubwa bila uwepo wa Aucho. Na mwishoni Aziz Ki akaondoka Yanga ila yule mwamba kamaliza msimu kwa kishindo kama vile Azizi Ki hakuwa na umuhimu vile (timu haikuteteleka)
Kazi kubwa ya kujenga timu na kutengeneza culture ya kupambana mjenzi ni Nabi, hao wengine walikuwa wananufaika tu na kazi aliyokwisha ijenga mkuuUnaposema kivuli cha Nabi unamaanisha nini? Tuanzie hapo kwanza
Miloud Yanga haijamuachia,wale ismailia walimpandia dau kubwa mno ambalo Yanga wasingeweza kumpa,nabi nae sio mwalimu mbayaMimi ni shabiki wa Yanga, Nabi kapita Yanga na Miloud kapita Yanga ila Miloud ni mwamba yule. No Aucho no problem yule jamaa. Leo hii tunaona pengo la Aucho wakati Azam alikandamizwa goli mbili na mpira mkubwa bila uwepo wa Aucho. Na mwishoni Aziz Ki akaondoka Yanga ila yule mwamba kamaliza msimu kwa kishindo kama vile Azizi Ki hakuwa na umuhimu vile (timu haikuteteleka)
Hiyo dhana haina uhalisia, angalia Man united iliyoongozwa na Sir Alex Ferguson kwa zaidi ya miaka 20 je nini kilitokea baada ya David Moyes kupewa timu?Kazi kubwa ya kujenga timu na kutengeneza culture ya kupambana mjenzi ni Nabi, hao wengine walikuwa wananufaika tu na kazi aliyokwisha ijenga mkuu
alipata mafanikio gani huko morocco!? AS FAR iligeuzwa kuwa Arsenyau ya arteta mpira mwingi ila second runner. hakupata hata kikombe cha ujiKama wewe ni shabiki wa Yanga basi hujui mpira!
Kawaulize wa Morocco kuhusu Nabi watakuelezea sifa zake!
Naona ume edit kauli yako uliyosema kuwa makocha waliopita walikuwa wanatembelea kivuli cha Nabi baada ya kukupa mifano ya miwili ya Folz kwa Yanga na David Moyes kwa Man united.Kama wewe ni shabiki wa Yanga basi hujui mpira!
Kawaulize wa Morocco kuhusu Nabi watakuelezea sifa zake!
Naona mashabiki wa Simba mnahaha kusikia Nabi akirudi Yanga.
Nabi ni mwalimu mzuri ila kwangu Gamondi was better. Ningefurahi kama angerudi.
Gamondi zilikua zinapigwa pasi nyieNaona mashabiki wa Simba mnahaha kusikia Nabi akirudi Yanga.
Nabi ni mwalimu mzuri ila kwangu Gamondi was better. Ningefurahi kama angerudi.
Nakubaliana na wewe, Nabi alianza slow sana, ni vile tu alipewa muda kinyume na hapo angefukuzwa. Sina uhakika kama ni kocha anaeweza kupeta impact ndani ya mfupi.Mimi ni shabiki wa Yanga, Nabi kapita Yanga na Miloud kapita Yanga ila Miloud ni mwamba yule. No Aucho no problem yule jamaa. Leo hii tunaona pengo la Aucho wakati Azam alikandamizwa goli mbili na mpira mkubwa bila uwepo wa Aucho. Na mwishoni Aziz Ki akaondoka Yanga ila yule mwamba kamaliza msimu kwa kishindo kama vile Azizi Ki hakuwa na umuhimu vile (timu haikuteteleka)