Upo sahihiMimi ukiniwekea hawa makocha watatu:-
1. Nabi
2. Gamondi
3. Miloud
Hakika nitamchagua Miloud kuwa kocha wa timu yangu. Huyu mwamba amekaa Yanga kwa muda mfupi, lakini alifanikiwa sana kutengeneza Chemistry bora kuwahi kutokea. I wish angebakia msimu huu ili amalizie pale alipoishia msimu uliopita.
All in all, makocha wote ni wazuri. Na wamefanya mambo makubwa ndani ya klabu ya Yanga.
Angerudi yeyote isipokuwa Saed Ramovic.Naona mashabiki wa Simba mnahaha kusikia Nabi akirudi Yanga.
Nabi ni mwalimu mzuri ila kwangu Gamondi was better. Ningefurahi kama angerudi.
Nabi alipewa timu katikati ya msimu baada ya matokeo mabovu kutoka kwa Cedric Kaze kama sikosei.Nakubaliana na wewe, Nabi alianza slow sana, ni vile tu alipewa muda kinyume na hapo angefukuzwa. Sina uhakika kama ni kocha anaeweza kupeta impact ndani ya mfupi.
Yule Ramovic hana tofauti na mwendawazimu Popoma wa hapa JF.Angerudi yeyote isipokuwa Saed Ramovic.
Huyo mfumo wake unaruhusu timu yake kufikiwa kirahisi golini kwake na wapinzani.
Timu inafungika kirahisi kwa counter attacks.
Nabi ni mzuri kwa kujenga timu (anahitaji muda) Miloud ni mzuri kwa timu kupata matokeo ya haraka.Mimi ukiniwekea hawa makocha watatu:-
1. Nabi
2. Gamondi
3. Miloud
Hakika nitamchagua Miloud kuwa kocha wa timu yangu. Huyu mwamba amekaa Yanga kwa muda mfupi, lakini alifanikiwa sana kutengeneza Chemistry bora kuwahi kutokea. I wish angebakia msimu huu ili amalizie pale alipoishia msimu uliopita.
All in all, makocha wote ni wazuri. Na wamefanya mambo makubwa ndani ya klabu ya Yanga.
Huyu AI ni hatari sana. Huu ndio ukweli, Nabi wa kumzidi pale labda Gamondi.Nabi ni mzuri kwa kujenga timu (anahitaji muda) Miloud ni mzuri kwa timu kupata matokeo ya haraka.
Uchambuzi kwa msaada wa AI.
Chanzo 1
Mfumo wa Kimbinu (Tactical Approach)
🔹 Yanga ya Nabi
Mfumo mkuu: 4-2-3-1 ikibadilika kwenda 4-3-3 au 3-4-3 kulingana na mchezo.
Philosophy:
Possession-based: kupiga pasi nyingi, kujenga mashambulizi kuanzia nyuma.
Pressing: Nabi alipenda high-press, anawataka washambuliaji kushambulia wapinzani wakiwa na mpira eneo lao.
Transitions: Yanga ya Nabi ilikuwa bora sana kwenye transition play (kubadilika haraka kutoka ulinzi kwenda shambulizi).
Maelekezo:
Fullbacks walipanda sana kusaidia winga (n.k. Djuma akawa mara nyingi akicheza kama "wing-back").
Feisal, Aucho, na Mudathir walitengeneza midfield triangle thabiti.
Paciencia au Mayele (wakati ule) walikuwa reference point ya shambulizi.
🔹 Yanga ya Miloud Hamdi
Mfumo mkuu: 4-4-2 au 4-2-3-1 lakini akiwa na mtazamo zaidi wa compact defending.
Philosophy:
Direct play: Hamdi anapenda mpira wa haraka kwenda mbele (vertical football).
Defensive block: mara nyingi timu inakaa chini kwa nidhamu, kisha inategemea counter-attack.
Less possession-oriented: tofauti na Nabi, Hamdi hafanyi sana buildup from the back; badala yake hupendelea mpira mrefu kwa washambuliaji.
Maelekezo:
Wingbacks hawapandi sana kama chini ya Nabi, badala yake wanazingatia zaidi defensive shape.
Washambuliaji wawili hufanya kazi ya kuwapress mabeki wa wapinzani lakini kwa nidhamu zaidi, sio kwa kasi ya juu sana.
Kipaumbele kipo kwenye compactness na kuzuia nafasi badala ya kushambulia kwa wingi.
2. Kiufundi (Technical Aspects)
🔹 Nabi
Alikuwa coach wa modern football: kuzingatia pressing, intensity, positional play.
Aliwaendeleza wachezaji kiufundi: mfano Mudathir alicheza box-to-box kwa kiwango cha juu zaidi, Mayele akawa modern striker mwenye movement nyingi.
Yanga yake ilikuwa na identity: timu ikicheza unaona falsafa ya Nabi wazi.
🔹 Hamdi
Ni pragmatic coach: anajali zaidi matokeo kuliko style.
Kiufundi hajajenga sana identity ya possession au passing patterns.
Ni mzuri kwenye game management: anaweza kubadilisha formation katikati ya mchezo ili kufunga nafasi.
3. Nguvu na Udhaifu
Yanga ya Nabi
✅ Strengths:
Transition football bora.
High pressing.
Fluid attacking movements.
Identity yenye mvuto (wachezaji walijua roles zao).
❌ Weaknesses:
Ilipokuwa inakutana na timu zenye defensive block ngumu, mara nyingine ilihangaika kuvunja ukuta.
Intensity kubwa iliwachosha wachezaji kadhaa mwishoni mwa msimu.
Yanga ya Hamdi
✅ Strengths:
Defensive discipline.
Counter-attack yenye makali.
Pragmatic approach (matokeo mbele).
❌ Weaknesses:
Hakuna identity thabiti ya kiufundi (inaonekana kama timu inacheza “kwa wachezaji” zaidi kuliko “kwa mfumo”).
Mashambulizi mara nyingine hayana pattern, yanategemea ubunifu wa individuals.
Timu inaweza kuonekana “flat” ikikosa plan B dhidi ya timu ngumu
4. Hitimisho
Yanga ya Nabi = Modern, aggressive, identity football (positional play + pressing).
Yanga ya Hamdi = Pragmatic, result-oriented football (compact defending + direct play).
Chanzo 2 (attachment)
Miloud alikoenda karibia wanamfukuza,tangu ajiunge kafungwa mechi 8 draw 2 na ushindi 1Mimi ukiniwekea hawa makocha watatu:-
1. Nabi
2. Gamondi
3. Miloud
Hakika nitamchagua Miloud kuwa kocha wa timu yangu. Huyu mwamba amekaa Yanga kwa muda mfupi, lakini alifanikiwa sana kutengeneza Chemistry bora kuwahi kutokea. I wish angebakia msimu huu ili amalizie pale alipoishia msimu uliopita.
All in all, makocha wote ni wazuri. Na wamefanya mambo makubwa ndani ya klabu ya Yanga.
Ni jambo la kawaida sana kutokea kwenye mpira wa miguu. Na mifano ni mingi sana kote duniani.Miloud alikoenda karibia wanamfukuza,tangu ajiunge kafungwa mechi 8 draw 2 na ushindi 1
KOCHA HUWA HACHEZI. KUCHA NI MHAMASISHAJI TU. TIMU HUSHINDA KWA VIPAJI BINAFSI VYA WACHEZAJI. HATA WASIPOENDA MAZOEZI KAMA ANA KIPAJI ATASHINDA. PENGO LA AZIZI K, FEITOTO ,CHAMA,AUCHO YANAJIONYESHA WAZI. MLETENI HATA MOURINHO YULE ORIGINAL KWA TIMU INAYOTEGEMEA MATAMBIKO YA KIARABU YA KUCHINJA NA KULA SUPU ZA NGAMIA. HAMTOBOIKocha Miloud Hamdi huyu ni bonge la kocha katika upande wa mbinu na ufundi sijui hata ikawaje kaachwa kizembe.
Azam walipigwa msako pamoja na kutokuwepo kwa Khalid Aucho ila Yanga ilishinda.
Nabi alifanya vizuri akiwa Yanga, ila katika kimbinu, falsafa, ufundi na kuweza game approach kupitia rasilimali zilizopo Miloud yupo vizuri sana. Huyu ndiye EX sahihi kuliko Nabi.
Mbumbumbu katika ubora wako.KOCHA HUWA HACHEZI. KUCHA NI MHAMASISHAJI TU. TIMU HUSHINDA KWA VIPAJI BINAFSI VYA WACHEZAJI. HATA WASIPOENDA MAZOEZI KAMA ANA KIPAJI ATASHINDA. PENGO LA AZIZI K, FEITOTO ,CHAMA,AUCHO YANAJIONYESHA WAZI. MLETENI HATA MOURINHO YULE ORIGINAL KWA TIMU INAYOTEGEMEA MATAMBIKO YA KIARABU YA KUCHINJA NA KULA SUPU ZA NGAMIA. HAMTOBOI
Mkuu kuwa serious basi, pengo la Fei toto??kwan ameondoka lini yanga??KOCHA HUWA HACHEZI. KUCHA NI MHAMASISHAJI TU. TIMU HUSHINDA KWA VIPAJI BINAFSI VYA WACHEZAJI. HATA WASIPOENDA MAZOEZI KAMA ANA KIPAJI ATASHINDA. PENGO LA AZIZI K, FEITOTO ,CHAMA,AUCHO YANAJIONYESHA WAZI. MLETENI HATA MOURINHO YULE ORIGINAL KWA TIMU INAYOTEGEMEA MATAMBIKO YA KIARABU YA KUCHINJA NA KULA SUPU ZA NGAMIA. HAMTOBOI
😁😁Kwa-tulipofikia yoyote aje.
Wewe unafikiri PENGO Huwa linajionyesha hapo hapo?Mkuu kuwa serious basi, pengo la Fei toto??kwan ameondoka lini yanga??
Ameenda kwenye timu mbovu, timu kila msimu inagombania nafasi ya kushuka daraja tu. Hawezi kubadilisha kitu kama hana rasilimali zenye viwango na ubora.Miloud alikoenda karibia wanamfukuza,tangu ajiunge kafungwa mechi 8 draw 2 na ushindi 1
Pira Gamondi, acha kabisa CR Belouzidad walipigwa kama ngomaGamondi zilikua zinapigwa pasi nyie
Mbumbumbu katika ubora wako.
Hata ajifiche vipi mbumbumbu utamjua kwa andiko lake tu.
🤣🤣🤣 eti kocha ni mhamasishaji tu, kwa hiyo makocha huwa wanasomea uhamasishaji na huwa wanalipwa mapesa mengi ili kuhamasisha!!? Jamani kama mtu hujui mpira ni lazima kuchangia? Kwanini usisome tu wanaume wakiwa wanaudadavua?KOCHA HUWA HACHEZI. KUCHA NI MHAMASISHAJI TU. TIMU HUSHINDA KWA VIPAJI BINAFSI VYA WACHEZAJI. HATA WASIPOENDA MAZOEZI KAMA ANA KIPAJI ATASHINDA. PENGO LA AZIZI K, FEITOTO ,CHAMA,AUCHO YANAJIONYESHA WAZI. MLETENI HATA MOURINHO YULE ORIGINAL KWA TIMU INAYOTEGEMEA MATAMBIKO YA KIARABU YA KUCHINJA NA KULA SUPU ZA NGAMIA. HAMTOBOI
Tunatarajia Kuna kocha duniani aliwahi kumfundisha OKOCHA, GAUCHO, DELIMA, ROBERTI CARLOS, TATIBO WEST , NA KANU kucheza au walikuwa wanajichukulia maujiko kutokana na vipaji vyao binafsi?🤣🤣🤣 eti kocha ni mhamasishaji tu, kwa hiyo makocha huwa wanasomea uhamasishaji na huwa wanalipwa mapesa mengi ili kuhamasisha!!? Jamani kama mtu hujui mpira ni lazima kuchangia? Kwanini usisome tu wanaume wakiwa wanaudadavua?
Kama mpaka leo hujui kazi ya kocha, basi acha kufatilia mpira wa miguu maana hauuelewiTunatarajia Kuna kocha duniani aliwahi kumfundisha OKOCHA, GAUCHO, DELIMA, ROBERTI CARLOS, TATIBO WEST , NA KANU kucheza au walikuwa wanajichukulia maujiko kutokana na vipaji vyao binafsi?