Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Hao hawajalipwa mishaharaNahisi Lwandamina anatatizo na kamusoko & ngoma...sio wagonjwa kama tunavyoaminishwa
LinawezekanaHao hawajalipwa mishahara
Hicho ndio kikosi bora cha Yanga kwa leo, hawana namna.Kivipi mtuaminishe kua kamusoko atakuwepo kikosi kinatoka hayupo hata bench? Nilikua nakuja uwanjani lakini siji tena,pato ngonyani mzito sana kama hawa jamaa wanakasi basi tunakufa...golini kabwili hahahaha hii sio vpl
Kocha hana matatizo, matatizo wanayo hao wachezaji uliowataja.Nahisi Lwandamina anatatizo na kamusoko & ngoma...sio wagonjwa kama tunavyoaminishwa
Kwahiyo Lwandamina ni dictator????kiasi kwamba washindwe kulalama mtandaoni kuwa wanabaniwa?Nahisi Lwandamina anatatizo na kamusoko & ngoma...sio wagonjwa kama tunavyoaminishwa
Hahahahaha labda waende usa wakalalamikie huko..wakiwa hapa hawawez mkuuKwahiyo Lwandamina ni dictator????kiasi kwamba washindwe kulalama mtandaoni kuwa wanabaniwa?
Hii game yanga tunakufa haaaa!!!
Kivipi mtuaminishe kua kamusoko atakuwepo kikosi kinatoka hayupo hata bench? Nilikua nakuja uwanjani lakini siji tena,pato ngonyani mzito sana kama hawa jamaa wanakasi basi tunakufa...golini kabwili hahahaha hii sio vpl
Pro ni pro tu...hawa wavulana alioweka usishangae tukala 3Uongozi haupangi kikosi hilo ni jukumu la benchi la ufundi
Mwalimu lwandamina anaanda match plan na type ya wachezaji kulingana na mechi
Tafadhali mambo ya uongozi kuingilia benchi la ufundi haitakiwi ,.kocha ndio msimamizi na mwenye maamuzi kwenye mambo ya kiufundi
Mlaumu coach na hujui mwl ana sababu gani kawaacha
.hawana match fitness na hii ni big game huwezi kumtumia mchezaji aliyetoka kwenye majeruhi hajacheza hata mchezo mmoja wa ligi kamari hio