Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Sasa si uvae jezi ya mnyama mkuu , sisi sote ni nduguSwala la Jezi za Mashabiki limekuwa gumu na adimu sana madukani. Na hata hayo maduka jezi zinapopatikana bei hazishikiki,ni Wapenzi,Mashabiki na Wanachama wa Yanga watanunua Jezi kwa shilingi 40,000?. Mbona mnatoa mihanya kwa watu kuleta jezi feki na club kukosa mapato. Jitahidini hili swala litatulie kabla ya match ya 14 September.
Nimeenda pale juzi Jezi wanauza 40,000 na ni design nyingine kabisa ambazo nyuma ya bega mgongoni zimeandikkwa GSMMbona jezi zipo nyingi tu sandaland tower kariakoo! Bei 30k.
Piga no hii 0715257179