Uongozi wa Yanga shughulikieni haraka swala la uhaba wa Jezi za Mashabiki.

Uongozi wa Yanga shughulikieni haraka swala la uhaba wa Jezi za Mashabiki.

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
22,719
Reaction score
40,739
Swala la Jezi za Mashabiki limekuwa gumu na adimu sana madukani. Na hata hayo maduka jezi zinapopatikana bei hazishikiki,ni Wapenzi,Mashabiki na Wanachama wa Yanga watanunua Jezi kwa shilingi 40,000?. Mbona mnatoa mihanya kwa watu kuleta jezi feki na club kukosa mapato. Jitahidini hili swala litatulie kabla ya match ya 14 September.
 
Niko uku mkoani nimejitaidi kuagiza mwanza pea mbili za nyumbani na ugenini ila sijapata mpaka leo.
 
Kwenye usambazaji wa jezi Yanga inabidi waliangalie,watu wanataka jezi,jezi hamna,sijui shida n nn?,Mikoani jezi hamna.
 
Mbona jezi zipo nyingi tu sandaland tower kariakoo! Bei 30k.
Piga no hii 0715257179
 
Swala la Jezi za Mashabiki limekuwa gumu na adimu sana madukani. Na hata hayo maduka jezi zinapopatikana bei hazishikiki,ni Wapenzi,Mashabiki na Wanachama wa Yanga watanunua Jezi kwa shilingi 40,000?. Mbona mnatoa mihanya kwa watu kuleta jezi feki na club kukosa mapato. Jitahidini hili swala litatulie kabla ya match ya 14 September.
Sasa si uvae jezi ya mnyama mkuu , sisi sote ni ndugu
 
Mbona jezi zipo nyingi tu sandaland tower kariakoo! Bei 30k.
Piga no hii 0715257179
Nimeenda pale juzi Jezi wanauza 40,000 na ni design nyingine kabisa ambazo nyuma ya bega mgongoni zimeandikkwa GSM
 
Yanga wangekomaa na jezi serious kwa kila kona ya Tz,wangepata pesa nyingi sana.
 
tatizo logo ya gsm kuna wekundu pale sasa jamaa hajitangazi vizuri
 
Back
Top Bottom