Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 6,602
- 10,801
Mgeni gani anaenda kutembelea kwa mtu bila taarifa..?Kwa hiyo kama anajua ataota kuwa wanaenda kufanya saa 1 jioni au asubuhi? Au meneja wa uwanja naye anashiriki program za Simba? Kwani Simba wanatakiwa waachiwe uwanja na nani?
Sheria inasema muda kama wa mechi ila siku 1 kabla ndio mazoezi yanafanyika broo. Jitahidi uwe muelewa basiKwa hiyo kama anajua ataota kuwa wanaenda kufanya saa 1 jioni au asubuhi? Au meneja wa uwanja naye anashiriki program za Simba? Kwani Simba wanatakiwa waachiwe uwanja na nani?
100% !!!Mpira wa Tanzania wa hovyo, simba wajitoe tu kwenye ligi wawaachie ligi yao.Imejaa upangaji matokea,watu fulani kuingilia maamuzi ya uwanjani hovyo kabisa. Safi Simba
Ujinga mtupu. Wanajua wanachokifanya.Mgeni gani anaenda kutembelea kwa mtu bila taarifa..?
Hoja ya simba ni dhaifu sana
Chagua moja kati ya haya.Mgeni gani anaenda kutembelea kwa mtu bila taarifa..?
Hoja ya simba ni dhaifu sana
Unaingiza timu kucheza bila kutrain?Acheni uoga na uongo,mechi inachezwa uwanjani sio nje ya uwanjani. Ingiza timu uwanjani leo.
Nimesikia kuwa mazoezi kabla ya mechi walifanya juzi.Kwa mujibu wa kanuni ya mpira
1. Timu ngeni inatakiwa kufanya mazoezi ya mwisho katika uwanja siku moja muda ule ule ambao mechi itachezwa;
Kuzuiwa kutoshiriki mazoezi ni sawa na kuufuta mchezo usiwepo
2Chagua moja kati ya haya.
1. Ligi yetu tuiendeshe kwa hisia na mazoea
2. Ligi yetu tuiendeshe kwa kanuni sheria na utaratibu
Kwa hiyo sheria ikisema hivyo uko huru kwenda muda wowote bila taarifa ili baadee ulalamike kuwa mlifanyiwa figisu mazingira hayakuwa rafiki? Kujua uongozi na sheria kunahusisha mawasiliano. Kwa mfano Somba wangewasiliana na meneja wa uwanja mapema nini kingeharibika? Mnasahau kuwa pamoja na uwanja kuwa wa serikali lakini pia uko chini ya FIFA na CAF.Sheria inasema muda kama wa mechi ila siku 1 kabla ndio mazoezi yanafanyika broo. Jitahidi uwe muelewa basi
Kuwa muelewa basi simba hakwenda muda wowote ila alikwenda muda ambao kanuni inamtaka aende lakini wakazuiliwa. Jitahidi basi ueleweKwa hiyo sheria ikisema hivyo uko huru kwenda muda wowote bila taarifa ili baadee ulalamike kuwa mlifanyiwa figisu mazingira hayakuwa rafiki? Kujua uongozi na sheria kunahusisha mawasiliano. Kwa mfano Somba wangewasiliana na meneja wa uwanja mapema nini kingeharibika? Mnasahau kuwa pamoja na uwanja kuwa wa serikali lakini pia uko chini ya FIFA na CAF.
Ndio sababu hata mechi za kimataifa timu mwenyeji inaandaa mazingira ya kupokea wageni ikiwemo usafiri. Ili haya mambo yafanikiwe kunahitaji mawasiliano. Kutoa taarifa ya muda mtakaoenda kufanya mazoezi ili mazingira yaandaliwe. Mkiogopa kulogwa mkapanga muda wenu ndio kama haya yanatokea.
Simba kaenda kufanya mazoezi uwanja wa taifa tena muda amabo anapaswa kwenda maana muda huwa ni masaa kama ya mchezo utakapochezwa ila akazuiliwa
Kanuni zinasema mazoezi kufanyika muda ule ule wa mechi!!Kwa hiyo kama anajua ataota kuwa wanaenda kufanya saa 1 jioni au asubuhi? Au meneja wa uwanja naye anashiriki program za Simba? Kwani Simba wanatakiwa waachiwe uwanja na nani?
Walitoa taarifa kwa nani..? Mbona walienda kwa kuvizia viziaSimba kaenda kufanya mazoezi uwanja wa taifa tena muda amabo anapaswa kwenda maana muda huwa ni masaa kama ya mchezo utakapochezwa ila akazuiliwa
Maana ni kwamba waliomzuia ndio wanamakosa maana wamevunja sheria
We jamaa tumia akili basi. Hii ligi inaendeshwa kwa sheria na kanuni sio mazoea. Jitahidi utumie ubongo basi. Anaevunja sheria anapaswa kuhukumiwaMiaka yote ya mechi za watani,mwenyeji anakabidhiwa uwanja,mgeni anaingia uwanja siku ya mechi akitokea mahali alipoweka kambi.Ndio maana hata meneja hakuwa na taarifa za wao kuja uwanjani. Hata Yanga hii nafasi ya kutumia huu uwanja kabla ya mechi round ya kwanza hakupewa, je hizo kanuni hazikuwepo, maana aliingia uwanjani akitokea Avic Town na mechi alicheza.
Kuna watu wana uelewa mgumu mpaka kero,yaani mabumunda mpaka basi.Sheria inasema muda kama wa mechi ila siku 1 kabla ndio mazoezi yanafanyika broo. Jitahidi uwe muelewa basi
Sawa atahukumiwa ila leteni timu uwanjani saa moja na roboWe jamaa tumia akili basi. Hii ligi inaendeshwa kwa sheria na kanuni sio mazoea. Jitahidi utumie ubongo basi. Anaevunja sheria anapaswa kuhukumiwa
Hapo nakukubaliaWatanzania wengi wamedumaa ukiona mambo zao ni za miaka 60 iliyopita..ukiona wanashangilia madudu ni dalili za udumavu.
Sijakataa hizo kanuni round ya kwanza zilikuwepo wapi,wakati Yanga hakupewa hiyo nafasi? Ina maana hizo kanuni zinabagua zianze kutumia wakati gani na kwenye round ipi? Au hizo kanuni zimetungwa jana asubuhi na kuwa enforced jioni?We jamaa tumia akili basi. Hii ligi inaendeshwa kwa sheria na kanuni sio mazoea. Jitahidi utumie ubongo basi. Anaevunja sheria anapaswa kuhukumiwa