Thabit Madai
Member
- Oct 8, 2024
- 54
- 140
Watalipa tu kunafaida gani kuwa na mchezaji ambaye hana matokeo chanyaAliyekuwa Mchezaji wa Yanga Hafiz Konkoni ameshinda kesi yake ya madai dhidi ya Klabu hiyo (Yanga) akidai fidia yake baada ya kuvunjiwa mkataba, Yanga wamepokea barua ya maamuzi ya kesi hiyo kutoka FIFA Jana Oktoba 17, 2024.
Hii inakuja siku chache baada ya Mchezaji mwingine Augustine Okrah kushinda kesi kama hiyo dhidi ya Yanga.
Lipeni pesa za mchezaji.Wachezaji wengi wa kutokea Ghana ni hasara tu kwenye ligi yetu.
Alicheza vizuri sana kwenye clip za YouTube, kwenye.YouTube hata mimi nilimkubaliWachezaji wengi wa kutokea Ghana ni hasara tu kwenye ligi yetu.
Ukitaka kitu kizuri lazima uingie gharama, fikiria kama leo timu ingekua na strier Konkoni ingefika wapi?Aliyekuwa Mchezaji wa Yanga Hafiz Konkoni ameshinda kesi yake ya madai dhidi ya Klabu hiyo (Yanga) akidai fidia yake baada ya kuvunjiwa mkataba, Yanga wamepokea barua ya maamuzi ya kesi hiyo kutoka FIFA Jana Oktoba 17, 2024.
Hii inakuja siku chache baada ya Mchezaji mwingine Augustine Okrah kushinda kesi kama hiyo dhidi ya Yanga.
Mbumbumbu kwenye one and twoUkweli usemwe, yanga hamna mwanasheria tafuteni mwanasheria mzuri huyu patrick simon atawafelisha chukua hii huyu jamaa alishaitisha press akiwa na shoga yake ashura mayutiai(ally kamwe) wakadai kagoma ni mchezaji halali wa yanga na kagoma anatwanga simba kama jana kama leo.
Ishu ni kwanini Yanga haimalizani na hao wachezaji mapema hadi wapelekwe FIFA?Watalipa tu kunafaida gani kuwa na mchezaji ambaye hana matokeo chanya
Hapo ndiyo alama ya ???????Ishu ni kwanini Yanga haimalizani na hao wachezaji mapema hadi wapelekwe FIFA?
Unaumia?🤣🤣🤣.injinia anawatia hasara utopolo