Uongozi wa Yanga ukikejeli, Wanaume tunapambana kuingiza timu nne

Uongozi wa Yanga ukikejeli, Wanaume tunapambana kuingiza timu nne

Unaweza kueleza hizo points 25 zimemsaidia nini kaizer chief?
1) ni point ambazo zimepatikana kwa Kaizer Chief kuingia fainali klabu bingwa hivyo wamejikusanyia kiasi cha pesa cha dola 1,250,000

2) ni point ambazo zimewafanya kaizer chiefs wapande kwenye rank za Caf za misimu mitano. Hivyo pindi kama ataingia tena kwenye michuano ya kimataifa ndani ya misimu hii minne atakuwa na akiba ya point tano ambazo zitazidishwa na coefficient kulingana na mwaka husika ili kupata point, hivyo hataanza na point 0 bali anaweza kuwa ni point 5 ama 10, 15 au 20

3) ameweza kuingezea shirikisho lao la soka la Africa kusini point 25 ambazo zinasaidia kutoa rank za mashirikisho ambapo kwanzia namba 1 hadi 12 wanafanikiwa kuingiza timu nne katika michuano ya kimataifa.
 
Hizo nafasi mbili Simba inakwenda kama Bingwa wa ligi hili halina ubishi,tutawabebeni tena mkatolewe kwa hatua ya Kindergaten nyie Utopolo kwakuwa bado mna ushamba mwingi na mashindano makubwa ya CAF.
Nmesema kila mtu aende kwa nguvu zake sijataja team tuta rudi hapa mwezi wa tano
 
Hata uto akishinda ubingwa ajue anaanzia hatua za awali.
Wakati mnyama anaanzia second round. Ambapo hata akifungwa anayo nafasi ya kucheza tena CAFCC.

Kiufupi Simba anamechi 4 za uhakika kuzicheza next season kwenye mashindano ya CAF.

Sasa jamaa zetu wa kidimbwini.
 
Nmesema kila mtu aende kwa nguvu zake sijataja team tuta rudi hapa mwezi wa tano
20220318_072740129331.jpg
 
Back
Top Bottom