Soloma TV Online
Senior Member
- Jun 26, 2023
- 104
- 291
Na mimi nadhani ni hivyo si uliona jezi zimekwenda kuzinduliwa ikulu ya MalawiHii trip imenishangaza sana. Kwanza ulazima wake kufanyika wakati huu hadi timu kulazimika kuokoteza wachezaji. Pili Malawi mwaka huu wanaadhimisha miaka 59 ya uhuru, kawaida ungetegemea wawe wanajiandaa kwa maadhimisho ya mwakani wakati wanatimiza miaka 60 na siyo kuwekeza kupeleka timu mwaka huu.
Nahisi ombi la kuipeleka Yanga huko lilitokea upande wetu na kwa kuheshimu mamlaka wakashindwa kukataa.
Upumbavu unakusumbua! Nani kakudanganya kuwa maadhimisho ya kutimiza miaka 60 ya uhuru ndiyo mialiko ya wapendwa wao lazima itolewe? Je unafahamu nini kinaweza kuwasibu mfano mafuriko makubwa kuliko yaliyowapata mwaka huu yanaweza kuwasibu?Hii trip imenishangaza sana. Kwanza ulazima wake kufanyika wakati huu hadi timu kulazimika kuokoteza wachezaji. Pili Malawi mwaka huu wanaadhimisha miaka 59 ya uhuru, kawaida ungetegemea wawe wanajiandaa kwa maadhimisho ya mwakani wakati wanatimiza miaka 60 na siyo kuwekeza kupeleka timu mwaka huu.
Nahisi ombi la kuipeleka Yanga huko lilitokea upande wetu na kwa kuheshimu mamlaka wakashindwa kukataa.
hivi unajua ulichoandika?Hii trip imenishangaza sana. Kwanza ulazima wake kufanyika wakati huu hadi timu kulazimika kuokoteza wachezaji. Pili Malawi mwaka huu wanaadhimisha miaka 59 ya uhuru, kawaida ungetegemea wawe wanajiandaa kwa maadhimisho ya mwakani wakati wanatimiza miaka 60 na siyo kuwekeza kupeleka timu mwaka huu.
Nahisi ombi la kuipeleka Yanga huko lilitokea upande wetu na kwa kuheshimu mamlaka wakashindwa kukataa.
Halafu kuna timu ilijisifia eti kwa kuifunga Nyasa Big Bullets!!Uongozi wa Timu ya Soka ya Yanga kupitia ukurasa wao rasmi wa Instagram wamekishukuru kikosi chao kwa kutoka Sare na Timu ya Nyasa Big Bullet ya Malawi katika mchezo wa Kimataifa uliochezwa Malawi kwenye maadhimisho ya siku ya Uhuru wa Taifa la Malawi na Yanga wakialikwa na Rais wa Taifa hilo. View attachment 2680288
uto mnasajili wachezaji kwa utaratibu wa vikosi?...manake kuna wachezaji wamesajiliwa kwa ajili ya kikosi cha kwanza, cha pili, tatu na nne?Halafu kuna timu ilijisifia eti kwa kuifunga Nyasa Big Bullets!!
Maana hiki ni kikosi cha tatu cha Yanga, na bado wametoa sare. Vipi tungeingiza full mkoko kama wenyeji!!
Wachezaji kote duniani husajiliwa kutokana na viwango vyao. Ila mwisho wa siku kocha lazima awe na kikosi chake cha kwanza na cha pili.uto mnasajili wachezaji kwa utaratibu wa vikosi?...manake kuna wachezaji wamesajiliwa kwa ajili ya kikosi cha kwanza, cha pili, tatu na nne?
Acha umbumbumbu kijana. Aliyekuambia kila binadamu mwenye mvi ni mzee nani?Kwa hiyo mmeenda huko kucheza na wachezaji hawa wenye mvi? Masihara yamezidi.
View attachment 2680547
Zaidi ya nusu ya wachezaji waliocheza walikodishwa kutoka kwenye vikundi vingine vya ngoma, si wachezaji ngoma halali wa Yanga. Wamalawi wamepigwa na kitu kizito mbele ya Rais wao.Naweza kupata list ya wachezaji waliochexa Malawi?
We hapo dogo una mvi?Acha umbumbumbu kijana. Aliyekuambia kila binadamu mwenye mvi ni mzee nani?
Hahah. Dah!!Upumbavu unakusumbua! Nani kakudanganya kuwa maadhimisho ya kutimiza miaka 60 ya uhuru ndiyo mialiko ya wapendwa wao lazima itolewe? Je unafahamu nini kinaweza kuwasibu mfano mafuriko makubwa kuliko yaliyowapata mwaka huu yanaweza kuwasibu?
Usiwachagulie mwaka upi waupe uzito mkubwa wacha raha wajipe wenyewe!
Inajulikana wengi wako vacation....no sawa kukodi nusu team 2 etc Uzuri viongozi walikuwepo....baadhi first eleven walikuwepo pia inatosha banaZaidi ya nusu ya wachezaji waliocheza walikodishwa kutoka kwenye vikundi vingine vya ngoma, si wachezaji ngoma halali wa Yanga. Wamalawi wamepigwa na kitu kizito mbele ya Rais wao.
first eleven ya Yanga unaijua?Inajulikana wengi wako vacation....no sawa kukodi nusu team 2 etc Uzuri viongozi walikuwepo....baadhi first eleven walikuwepo pia inatosha bana
.....hata sijui nitajiefirst eleven ya Yanga unaijua?
Mimi nina mvi kuliko hata zile za Lowassa.We hapo dogo una mvi?