SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Hakuna mtu mwenye mvi kama Lowassa, tena kijana. Uongo wako unaanzia hapo.Mimi nina mvi kuliko hata zile za Lowassa.
Malawi wamethibitisha wako nyuma sana kwenye nyanja nzima ya mawasiliano na utawala ndiyo maana mmeweza kufanya ujinga mliowafanyia ila hamjawaheshimu wala kuiheshimu hiyo safari kwa kiwango kama mnavyojitapa.