Uongozi wa Yanga wakishukuru kikosi chao kwa sare na Nyasa big bullet ya Malawi

Mimi nina mvi kuliko hata zile za Lowassa.
Hakuna mtu mwenye mvi kama Lowassa, tena kijana. Uongo wako unaanzia hapo.

Malawi wamethibitisha wako nyuma sana kwenye nyanja nzima ya mawasiliano na utawala ndiyo maana mmeweza kufanya ujinga mliowafanyia ila hamjawaheshimu wala kuiheshimu hiyo safari kwa kiwango kama mnavyojitapa.
 
Kwa hiyo mimi ni kijana! Kisa tu mkijisikia kunitukana, mnanitukana! Ok, basi sawa.
 
Back
Top Bottom