Uongozi wa Yanga wampa Kocha mechi mbili

Pia tatizo la Yanga wanashindana na Simba kitu ambacho ni kigumu,Simba wagenkuwa wanafanya mambo kwa presha ya ubora wa Yanga wakati ule wa kina msuva leo isingefika hapa ,Yanga watulie wasiwe na presha kutoka kwa wapinzani watulie kama hawasikii
 
Waache usenge kocha anakosa gn magol wamekosa wenyewe tu
 
Kwani Manara anasemaje...?
Si alisema le Prof anaendesha kozi ya ukocha kule Avic...?!
Wamtimue tu Manara ameshamhakikishia ajira Avic
 
Hapa kocha anaonewa TU.

Timu imefanya usajili kwa pupa, afu wana maandalizi hafifu Sana ya preseason.
 
Yanga wameshaona madhara ya kufanyia mazoezi mtandaoni na mliambiwa mapema
Nendeni kambini mfanye mazoezi acheni mazoezi ya mtandaoni Manara hachezi yeye anaishi Kwa mdomo mjini. Mkatubeza
Sasa mmeona wenuewe
 
Kocha boya huyu HV yule dogo nchimbi Ana kipi kumzid kaseke au saido
 
Pia tatizo la Yanga wanashindana na Simba kitu ambacho ni kigumu,Simba wagenkuwa wanafanya mambo kwa presha ya ubora wa Yanga wakati ule wa kina msuva leo isingefika hapa ,Yanga watulie wasiwe na presha kutoka kwa wapinzani watulie kama hawasikii
Waache pia ujanja ujanja wa kutaka kuongea au kuchochea ya upande wa 2 wakati ya kwao wanayashindwa

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Yanga hawakufikisha siku 23 kwenye pre season. Bora hata wangekuwa na hizo siku 23
 
Huyo Kocha wangemuacha tu. Manara ndio angepewa sharti la hizo mechi mbili!
 
Wamkabidhi Timu Manara maana ni anasema yeye aliifikisha simba robo fainali club bingwa..
 
Kama kweli uongozi wa Yanga umefikia maamuzi hayo, basi wajue hilo ndilo KABURI lao la mwaka huu wa Ligi ya TFF yaani Ligi Kuu ya 2021/2022 waisahau hata hiyo nafasi ya pili waliyo ambulia in the last TFF League season!
 
Simba hii hii ya sakho?
simba hii hii ya kanoute na bwalya?
Simba hii hii ya mugalu?
Bora wangemuachisha tu kazi bila kumpa masharti, huo mlima ni mrefu sana kupandwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…