Uongozi wa Yanga wampa Kocha mechi mbili

Uongozi wa Yanga wampa Kocha mechi mbili

Umemsahau Deejay Luc Emely aliitengeneza timu kiasi chake sema akawaita jina lile wakamtimua. Ndio mwanzo huo wanaanza kuvurugana. Tatizo kinacho wapa pressure ni ubora wa simba wasijue simba imesukwa kwa muda na inanunua wachezaji kweli sio wakuokota na mambo ya propaganda
Pia tatizo la Yanga wanashindana na Simba kitu ambacho ni kigumu,Simba wagenkuwa wanafanya mambo kwa presha ya ubora wa Yanga wakati ule wa kina msuva leo isingefika hapa ,Yanga watulie wasiwe na presha kutoka kwa wapinzani watulie kama hawasikii
 
Waache usenge kocha anakosa gn magol wamekosa wenyewe tu
 
Kwani Manara anasemaje...?
Si alisema le Prof anaendesha kozi ya ukocha kule Avic...?!
Wamtimue tu Manara ameshamhakikishia ajira Avic
 
hahahhah

FB_IMG_1631606227009.jpg
 
Hapa kocha anaonewa TU.

Timu imefanya usajili kwa pupa, afu wana maandalizi hafifu Sana ya preseason.
 
Yanga wameshaona madhara ya kufanyia mazoezi mtandaoni na mliambiwa mapema
Nendeni kambini mfanye mazoezi acheni mazoezi ya mtandaoni Manara hachezi yeye anaishi Kwa mdomo mjini. Mkatubeza
Sasa mmeona wenuewe
 
Kocha boya huyu HV yule dogo nchimbi Ana kipi kumzid kaseke au saido
 
Pia tatizo la Yanga wanashindana na Simba kitu ambacho ni kigumu,Simba wagenkuwa wanafanya mambo kwa presha ya ubora wa Yanga wakati ule wa kina msuva leo isingefika hapa ,Yanga watulie wasiwe na presha kutoka kwa wapinzani watulie kama hawasikii
Waache pia ujanja ujanja wa kutaka kuongea au kuchochea ya upande wa 2 wakati ya kwao wanayashindwa

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Kama ni kweli basi timu yangu ya yanga IMEKOSA WELEDI KABISA

kosa lake n lipi huyo kocha unamlete a lundo la wachezaji na pre season ya siku 23

Kulikuwa na haja gan ya kwenda Morocco na kukaa siku 5

# AKUFUKUZAYE AKWAMBII TOKA

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Yanga hawakufikisha siku 23 kwenye pre season. Bora hata wangekuwa na hizo siku 23
 
Kwa mujibu wa gazeti la Mwanaspoti ni kwamba uongozi wa Klabu ya Yanga umempa mechi mbili (2) kocha mkuu wa kikosi hicho Nasreddine Nabi , Mechi hizo mbili ambazo amepewa kocha Nabi ni ile ya marudiano ya Klabu Bingwa Afrika dhidi ya Rivers United ya Nigeria na mchezo dhidi ya watani wao jadi Simba utakaochezwa September 25 kwenye dimba Benjamin Mkapa, Dar.

Nini maoni yako?
Huyo Kocha wangemuacha tu. Manara ndio angepewa sharti la hizo mechi mbili!
 
Kwa mujibu wa gazeti la Mwanaspoti ni kwamba uongozi wa Klabu ya Yanga umempa mechi mbili (2) kocha mkuu wa kikosi hicho Nasreddine Nabi , Mechi hizo mbili ambazo amepewa kocha Nabi ni ile ya marudiano ya Klabu Bingwa Afrika dhidi ya Rivers United ya Nigeria na mchezo dhidi ya watani wao jadi Simba utakaochezwa September 25 kwenye dimba Benjamin Mkapa, Dar.

Nini maoni yako?
Wamkabidhi Timu Manara maana ni anasema yeye aliifikisha simba robo fainali club bingwa..
 
Kwa mujibu wa gazeti la Mwanaspoti ni kwamba uongozi wa Klabu ya Yanga umempa mechi mbili (2) kocha mkuu wa kikosi hicho Nasreddine Nabi , Mechi hizo mbili ambazo amepewa kocha Nabi ni ile ya marudiano ya Klabu Bingwa Afrika dhidi ya Rivers United ya Nigeria na mchezo dhidi ya watani wao jadi Simba utakaochezwa September 25 kwenye dimba Benjamin Mkapa, Dar.

Nini maoni yako?
Kama kweli uongozi wa Yanga umefikia maamuzi hayo, basi wajue hilo ndilo KABURI lao la mwaka huu wa Ligi ya TFF yaani Ligi Kuu ya 2021/2022 waisahau hata hiyo nafasi ya pili waliyo ambulia in the last TFF League season!
 
Simba hii hii ya sakho?
simba hii hii ya kanoute na bwalya?
Simba hii hii ya mugalu?
Bora wangemuachisha tu kazi bila kumpa masharti, huo mlima ni mrefu sana kupandwa!
 
Back
Top Bottom