Uongozi wa Yanga wampa Kocha mechi mbili

Mechi ya Nigeria ndio tia maji, hii nyingine hata kushinda 3 kwa sifuri inawezekana vizuri tu.
 
Simba hii hii ya sakho?
simba hii hii ya kanoute na bwalya?
Simba hii hii ya mugalu?
Bora wangemuachisha tu kazi bila kumpa masharti, huo mlima ni mrefu sana kupandwa!
Hii ni Simba butu haikuwahi kutokea, mechi zikianza mtaikataa. Uzuri kocha kashasema Simba hii haina ubora wa msimu uliopita.
 
Simba hii hii ya sakho?
simba hii hii ya kanoute na bwalya?
Simba hii hii ya mugalu?
Bora wangemuachisha tu kazi bila kumpa masharti, huo mlima ni mrefu sana kupandwa!
Kuna mtoto mdogo pale Simba anaitwa Peter Banda,mtoto nuksi sana huyu.
serikali ya mama Samia isipoingilia kati wale wazee wa Yanga watashughulishwa sana na huyu bwamdogo uwanjani.
 
Timu yangu Yanga na kocha hana kosa, sijui kwanini mpira wetu unaendeshwa na watu wanaotaka matokeo over night

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
Wamemmaliza
 
Akufukuzaye hakuambii ondoka!! Utasoma tu katikati ya mistari!! Hata ukimleta Sir Furgarson hawezi kushinda hizo mechi mbili!!
 
Kocha wa watu anakosa gani hapo. Maandalizi hafifu, usanii mwingi inshu ya baadhibya wachezaji kukosa vibali vya kazi kocha anahusikaje..? Aisee mambo mengine yana leta hasira
Kabisa Mkuu gsm wajanja sana makosa yao wanataka kumwangushia kocha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…