Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Wewe ni mwanayanga uliyeamua kusema ukweli bila kupepesa.
Yanga hi si ilee! Yaani yanga hii hii ni aibu. Kuna umuhimu wa kutumia VAR kwenye mechi zake kama ingeruhusiwa.
Kweli kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni mwanayanga uliyeamua kusema ukweli bila kupepesa.
Yanga hi si ilee! Yaani yanga hii hii ni aibu. Kuna umuhimu wa kutumia VAR kwenye mechi zake kama ingeruhusiwa.
simba ndio wanajulikana kwa kuhonga marefa na wachezaji
Yanga wenye akili wamebaki wachache sana..hongera mkuu kwa kuwa mmoa wa hao wachache.Haingii Akilini Timu yetu kuna Wachezaji kama Dante na wengine wengi tu wanadai Pesa zao lakini Uongozi wetu wa Juu unafikia Kutenga Tsh Milioni 10 za Kuwahonga Waamuzi ( Referees ) ili ' watubebe ' tushinde Mechi zetu kwa Magoli yetu ya ' Kindondocha ' halafu tunajisifu na tunataka Kujifananisha na wanaojua Mpira Simba SC ambao ni Wapinzani wetu?
Wanachana wenzangu wa Yanga SC tusikubali hili na hapa lazima Uongozi Kesho tu utuombe Radhi vingine Mimi nitawaongoza wana Yanga SC wenzangu Kuhamia rasmi Simba SC ambako naona ni kama vile ' Kumenoga ' kwa sasa. Hii ni Aibu Kubwa kwetu wana Yanga SC kwani ' Watani ' zenu Simba SC wala hawahongi Waamuzi na Ushindi wao huwa ni wa Kimchezo zaidi hadi hata Sisi wana Yanga SC wengine huwa tunavutiwa nao.
TFF na TAKUKURU ingilieni Kati leo kuna Tsh Milioni 10 ambazo Watanzania ( hasa Sisi wana Yanga SC ) akina An Eagle tunaambiwa kuwa wamepewa Wachezaji wakati ukweli ni kwamba Pesa zote zimeenda kwa Waamuzi na Washika Vibendera na kuna Mmoja Kesho anaenda Kununua Gari huku mwingine anaenda Kupaua Nyumba yake huko Buza na Mwingine anaenda Kulipa Vibarua wake wa Shamba lake huko Mbwinde.
Na bahati nzuri mno An Eagle ni Rafiki wa Wachezaji wote Waandamizi wa Yanga SC yetu na mpaka sasa hivi ( yaani Usiku huu wa Saa 5 hii inakimbilia Saa 6 ) hakuna Mchezaji yoyote aliyepewa ' Mgao ' wa hizo Pesa na kuna Mmoja kamuambia An Eagle kuwa hizo Pesa zilitolewa tu leo hadharani kama ' Danganya Toto ' tu ili Kutuliza ' Fukuto ' kubwa lililopo Klabuni hasa baada ya Sisi Wanachama kutoutaka tena Uongozi huu wa Yanga SC na hasa hasa Kocha wetu asiyejua Kuvaa Mwinyi Zahera.
Msiponielewa An Eagle katika hili Kesho Jumatatu Saa 5 tu za Asubuhi natangaza rasmi Kuhamia Simba Sports Club.
teh teh teh! Tuwekee na goal la pili walilofunga ruvu shouting halafu mwamuzi akasema offside.View attachment 1226220
Kweli kabisa
teh teh teh! Tuwekee na goal la pili walilofunga ruvu shouting halafu mwamuzi akasema offside.
Yanga mnaangamia kwa kukos maarifa.View attachment 1226220
Kweli kabisa