Uongozi wangu wa Yanga SC tafadhali Siku nyingine tusirudie tena huu ' Uhuni ' tulioufanya leo vinginevyo nitahamia rasmi Simba SC

Wewe ni mwanayanga uliyeamua kusema ukweli bila kupepesa.
Yanga hi si ilee! Yaani yanga hii hii ni aibu. Kuna umuhimu wa kutumia VAR kwenye mechi zake kama ingeruhusiwa.

Kweli kabisa
 
Yanga wenye akili wamebaki wachache sana..hongera mkuu kwa kuwa mmoa wa hao wachache.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…