Uongozi wenye vision ya taifa 'Visit Rwanda', uongozi usio na vision ya taifa lao 'Samia no.1'

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
Ina maana mwisho wao wa kufikiri ni uwepo wa mtu akiondoka na maono yao yanaishia pale hadi kiongozi mwingine aje waanze upya.

Ndio ujue tofati ya Kiongozi na Kiazi.

HNgT5uMXQAAfSEW.jpeg
 
Kwenye miji mikubwa kama Dar es Salaam,Mbeya,Arusha,Mwanza kulipaswa kuwepo na ongezeko kubwa sana la Vyuo vya kati na vyuo vya ujuzi lakini ongezeko ni la machinga wa mitumba,bidhaa hafifu za chini,wachoma mahindi,wauza machunga badala ya vijana hao kuwepo kwenye site,viwanda,mikoani wakitumia ujuzi.Jibu ni kuwa hatuna viongozi wanaioitazama kesho ya miji na Tanzania na wanchotazama ni namna ya kupata cheo au kupiga mipenyo ya fedha.
 
Ina maana mwisho wao wa kufikiri ni uwepo wa mtu akiondoka na maono yao yanaishia pale hadi kiongozi mwingine aje waanze upya.

Ndio ujue tofati ya Kiongozi na Kiazi.

View attachment 3632441
Ina maana mwisho wao wa kufikiri ni uwepo wa mtu akiondoka na maono yao yanaishia pale hadi kiongozi mwingine aje waanze upya.

Ndio ujue tofati ya Kiongozi na Kiazi.
 
Mwanangu kama yupo Watamdaka kwa mtego wa kumuungisha kwenye "Istilahi za Uhalifu na Usalama" Dr.C.C
 
Kwani data za Utalii zinasemaje?

Mwaka 2019 Rwanda Utalii wao uliwaingizia Dola milioni 498, sasa hivi unawaingizia Dola milioni 685.

At same time Tanzania tulikua roughly 2.5B USD mwaka 2019 na sasa hivi tushagusa 4.4B USD

Wao Wana ongezeko la Asilimia 37, Sisi tuna ongezeko la Asilimia 72 huoni kama tumewaacha mbali na method zetu ni effective kushinda zao?

Si Tu Rwanda hata Kenya ambaye for long time alikua yupo juu East Africa sasa hivi hatusumbui.
 
Kwenye miji mikubwa kama Dar es Salaam,Mbeya,Arusha,Mwanza kulipaswa kuwepo na ongezeko kubwa sana la Vyuo vya kati na vyuo vya ujuzi lakini ongezeko ni la machinga wa mitumba,bidhaa hafifu za chini,wachoma mahindi,wauza machunga badala ya vijana hao kuwepo kwenye site,viwanda,mikoani wakitumia ujuzi.Jibu ni kuwa hatuna viongozi wanaioitazama kesho ya miji na Tanzania na wanchotazama ni namna ya kupata cheo au kupiga mipenyo ya fedha.
Umesahau ongezeko la boda na bajaj pia kwenye miji hiyo
 
Back
Top Bottom