Tunamuomba kiumbe huyu haraka aje aungane na mashine zinazotupa raha kwa sasa ili tukamilishe furaha zetu na kurudisha heshima ingawa tayari watu washakubali.
Kuna tatizo gani kati ya Saidor na klabu?
Msola nini unafanya katika hili?
Kuna tetesi za maelewano baina yake na mwalimu....hivi uongozi mnashindwa kweli kutafuta suluhu na kuwapatanisha kazi iendelee?
Tunapoteza mengi kwa kukosekana Saidor....tunapoteza burudan tunapoteza points....mfano game ya leo na Kagera uwepo wake ulihitajika sana na nina imani angeingia sub ya Faridi tungefurahi saana!
Tuombe uongozi Yanga tatueni hili jambo mapema sio siri linatuumiza sana wananchi.