Uongozi Yanga ﹰTuleteeni Ntibazokiza

Uongozi Yanga ﹰTuleteeni Ntibazokiza

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Tunamuomba kiumbe huyu haraka aje aungane na mashine zinazotupa raha kwa sasa ili tukamilishe furaha zetu na kurudisha heshima ingawa tayari watu washakubali.

Kuna tatizo gani kati ya Saidor na klabu?

Msola nini unafanya katika hili?

Kuna tetesi za maelewano baina yake na mwalimu....hivi uongozi mnashindwa kweli kutafuta suluhu na kuwapatanisha kazi iendelee?

Tunapoteza mengi kwa kukosekana Saidor....tunapoteza burudan tunapoteza points....mfano game ya leo na Kagera uwepo wake ulihitajika sana na nina imani angeingia sub ya Faridi tungefurahi saana!

Tuombe uongozi Yanga tatueni hili jambo mapema sio siri linatuumiza sana wananchi.
 
Huyo mchezaji simpendi kwa dharau zake toka siku ile alivyopiga goli halafu akaomba atolewe...

Halafu inasemekana aligombana na kocha amekuja kwenye kambi siku mbili kabla ya mechi ya Simba halafu anataka acheze kikosi cha kwanza.

Shenzi zake.
 
Unauhakika? viongozi wakae nae kutafuta suluhu
 
Tunamuomba kiumbe huyu haraka aje aungane na mashine zinazotupa raha kwa sasa ili tukamilishe furaha zetu na kurudisha heshima ingawa tayari watu washakubali.

Kuna tatizo gani kati ya Saidor na klabu?

Msola nini unafanya katika hili?

Kuna tetesi za maelewano baina yake na mwalimu....hivi uongozi mnashindwa kweli kutafuta suluhu na kuwapatanisha kazi iendelee?

Tunapoteza mengi kwa kukosekana Saidor....tunapoteza burudan tunapoteza points....mfano game ya leo na Kagera uwepo wake ulihitajika sana na nina imani angeingia sub ya Faridi tungefurahi saana!

Tuombe uongozi Yanga tatueni hili jambo mapema sio siri linatuumiza sana wananchi.
Tatizo lake hana nidhamu,akijiona yeye ni mkubwa kuliko kocha

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom