Uozo, blabla na upendeleo wa wazi wazidi kuishushia hadhi Ballon d’Or

Sijawah kusikia Ronaldo tuzo zake zikilalamikiwa! Japo utakuta ana magol tu na labda ubingwa wa UEFA lakini assist sijui mambo mengine hamna kitu sasa ukigusa Mess kila sehem utamkuta.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ronaldo hakustahili kabisa kuingia kwenye hii tuzo na Messi hakustahili kushinda baloonDor
 
Messi alistahili.


Magoli siyo kigezo cha uchezaji bora!

Hebu tuambie Ballon d’Or inatolewa kwa vigezo vya Mtu kutoa assist nyingi na kuwa Man of the Match mara nyingi?!

Kweli tuwaache Watu waliobeba Mataji mengi na kufunga magoli mengi kwa ajili ya huo upuuzi?!
 
Uki ondoa Messi na Gaucho. Hiki kizazi Kipya hakuna anae jua mpira wa starehe na raha. Team Cristiano mtulie tu dawa iwaingie.
 
Let's talk about the long, long list Robert Lewandowski's achievements and awards since 2019-20 season

  • Bundesliga 2019-20
  • Bundesliga 2020-21
  • DFB Pokal 2019-20
  • Champions League 2019-20
  • DFL Super Cup 2020-21
  • DFL Super Cup 2021-22
  • UEFA Super Cup 2020
  • FIFA Club World Cup 2020
  • UEFA Best Player
  • UEFA Best Forward
  • Bayern Munich's Player of the Year 2020
  • Germany's Footballer of the Year 2020
  • Germany's Footballer of the Year 2021
  • Poland's Sportsman of the Year 2020
  • Poland's Footballer of the Year 2020
  • European Sportsman of the Year 2020
  • Bundesliga Top Scorer 2019-20
  • Bundesliga Top Scorer 2020-21
  • Champions League Top Scorer 2019-20
  • Bundesliga Best Player 2019-20
  • Bundesliga Best Player 2020-21
  • FIFA Men's Best Player 2020
  • World Soccer Player of the Year
  • Globe Soccer Player of the Year 2020
  • AS' Footballer of the Year
  • Best Male Athlete of the Year by International Sports Press Association [AIPS].
  • Tuttosport Player of the Year 2020
  • Tuttosport Player of the Year 2021
  • IFFHS World's Best Goalscorer 2020
  • IFFHS World's Best Player 2020
  • IFFHS World's Best Player 2021
  • The Guardian's World's Best Footballer
  • FIFA Club World Cup Top Goalscorer
  • FIFA Club World Cup Best Player
  • European Golden Boot 2020-21

The winner in our hearts ❤️
 
A true football fan knows who had been the best player in the past 2yrs, we all saw it there's no ballon d'or needed. We also saw who was struggling since leaving the other club. For that editor in chief to make those claims on Cr7 on the night of a ceremony while he is not there is not only disrespectful to Ronaldo but it shows biasness which is what these awards have come to.

I read about articles insulting Cristiano left right & centre. They always trying to create a negative working environment for him and promoting Messi at his expense. That's what I dislike.
 
Messi alistahili.


Magoli siyo kigezo cha uchezaji bora!
Kama magoli sio kigezo basi angepewa ngolo kante,,,, leo mnasema hivi kwa kuwa messi hakufunga magoli mengi kumshinda Lewandowski!
Inategemea na hayo magoli yameisaidia vipi timu yako,,
Lewandowski alistahili kabisa ndio maana wamempooza eti na tuzo ya mshambuliaji bora, mbona hwakuweka tuzo ya kiungo bora! Kwanini wachezaji wote kumi na moja waweke mshambuliaji tu?
 
Tumia akili wewe. Kwa Takwimu za Assist na Magoli hatuta kujaga kupata mshindi wa Balloon d'or Beki au Kiungo hata siku Moja.
Just imagine una angalia Assist ,sijui most big chance missed huo c uenda wazimu kabisa Huuu😬😬. Ani wanaweka Vigezo ambavyo vina mfavor mtu Fulani. Kwa Vigezo hivyo ninge omba tu hiyoo tuzo ibadilike na iwe Tuzo ya Washambuliaji Bora na Sio Mchezaji Bora.
Maana Vigezo vingi vina base kwa Mastriker na Attack middle field pekee yao
Hii tuzo aliyo ichukua Messi imewauma sana mashabiki wa Man Utd 😀😀😀,wote wanalalamika ila takwim zipo wazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…