Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mwalimu wa it?jina lake kamili ni lipi?hana ubini?na anafundisha it ipi?it 110?it 200? Au it 213?
Tatizo Wa Tanzania tunakariri Sana.kuna dogo alisomaga Diploma DIT.alipoenda China akasoma masters karudi mwajiri wake anasema ataitambua masters yake pale atakapoleta Chet cha bachelor. Kupata D au ata F Tanzania sio kama mtu Ana akili.Mazingira yakiwa mazuri mtu aliepata D au F anaweza Fanya vizuri tu.
Last week Diamond just std seven na My Whether ambae ata kusoma ajui wametengeneza mamillions ambayo wenye ma PhD ata wakipewa 100 years ya kufanya kazi awatoweza yapata.tafakari chukua hatua[/QUOTE
Nafikiri unatatizo la kutoelewa wewe...jua kwamba Tanzania sio china...so kama wao wanaruhusu kutoa masters kwa mtu asiye na degree ni wao. Elewa kwamba vyuo vyote vya Tanzania vinasimamiwa na TCU au NACTE so ni lazima kila chuo kidahiri wanafunzi kwa kufuata minimum entry points zilizopangwa na mamlaka husika. Pia khs diamond kuvuna pesa nyingi coz hana shule haina maana taratibu zisifuatwe. Remember the end should never justify the means
Duh kuna watu ni mzigo aisee....yaan mtu anaongea ushetani hapa..then wewe unampa bigup...big up mkuu umenena vyema