Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Walau Konyagi wanajitahidiYaan kama taifa tunaenda kuangamia cz hata vinywaji vingi mtaani ni fake ila hao TBS na TRA wamevipitisha kwa kuuza code zao kwa magendo...nmetangaza rasmi kutokunywa tena kinywaji chochote kilichozalishwa ndani kwa mustakabali wa afya yangu
Una maslahi yoyote kwenye hili?Ni kama umeamua kuandika ukutani Kwa kutumia kinyesi chako. Embu fafanua vzuri. Bidhaa yako kufeli unamlaimu nani kiongozi. Embu tupe uthibitisho kwamba uliipima bidhaa yako kiwandani na ikafaulu, then ukapeleka TBS ikafeli. Wengi wenu mnazalisha bidhaa hajui au hamna uhakika na ubora wa bidhaa zenyewe. Je unataka ifaulu ata kama imefeli ili imfuraishe nani?