DOKEZO Uozo: TBS imepoteza hadhi ya kuwa chombo cha kuratibu na kusimamia ubora nchini

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Yaan kama taifa tunaenda kuangamia cz hata vinywaji vingi mtaani ni fake ila hao TBS na TRA wamevipitisha kwa kuuza code zao kwa magendo...nmetangaza rasmi kutokunywa tena kinywaji chochote kilichozalishwa ndani kwa mustakabali wa afya yangu
Walau Konyagi wanajitahidi
Una maslahi yoyote kwenye hili?
 
Walau Konyagi wanajitahidi

Una maslahi yoyote kwenye hili?
Tarizo lipo kwenye hivi vipombe vya bei chee, Vingi vyao kama si vyote ni majanga. Magonjwa ya Figo, ini, na ubongo yatakuwa janga la kitaifa miaka si mingi
 
Una maslahi yoyote
Tarizo lipo kwenye hivi vipombe vya bei chee, Vingi vyao kama si vyote ni majanga. Magonjwa ya Figo, ini, na ubongo yatakuwa janga la kitaifa miaka si mingi
99 percent hazifai kiafya
 
Walau Konyagi wanajitahidi

Una maslahi yoyote kwenye hili?
Mkuu hizo ni facts, siyo zile za kuondoa chumvi kwa chlorine. Aeleze ukweli, kuhusu ubora wa hiyo bidhaa Yake kama anaujua. Mbona watu wakienda hospital wakiambiwa wana vijidudu vya typhoid huwa hawalalamiki au kukata majibu, utaalamu upewe nafasi yake na uheshimiwe bila kuleta hisia hasi.
 
Tarizo lipo kwenye hivi vipombe vya bei chee, Vingi vyao kama si vyote ni majanga. Magonjwa ya Figo, ini, na ubongo yatakuwa janga la kitaifa miaka si mingi
Kuna ambao wanaumia figo, pombe hawajawahi zigusa.
 
Kuna ambao wanaumia figo, pombe hawajawahi zigusa.
Ila matumizi yaliyopitiliza ya pombe na pombe zisizo salama yanaongeza hatari ya kuugua Figo/ini mara mbili zaidi
 
Ok ok sawa
 
Vp ISO haiwez kuwa mbadala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…