Miss trinity
Member
- Feb 18, 2014
- 95
- 24
Ahsante kwa kuniita ila mambo ya upambaji wa keki sina ujuzi nayo
Binafsi natamani ningejua hata kupika tu kupamba nafikiri unaweza ukajifunza kupitia you tube
Miss trinity ...mm hua namfanyia mwanangu hivi.. nanunua nutella, self rising flour ya chocolate or cocoa flavour na smarties/m&m/malteasers then naipika cake vizuuri(haichukui muda) ikipoa naipaka nutella namwagia hizo m&m cake iko tayari kwa kukatwa...lol ...hio icing nahisi inahitaji utaalam na ina kazi kutengeza.....
Icing sugar...
Limao nusu/zima.
Na ute wa mayai mawili.
changanya icing,ute wa yai na kipande cha limao(ukiona mzito sana ongezea kidogo kipande kilicchobaki tahadhari ujiuji ukiwa mwepesi utakusumbua kwenye kupamba) baada ya hapo kama unataka kuweka rangi haya.
Labda anataka kujua ile icing sugar pale juu inachanganywaje.........
Kupika keki ya aina gani?
Icing sugar...
Limao nusu/zima.
Na ute wa mayai mawili.
changanya icing,ute wa yai na kipande cha limao(ukiona mzito sana ongezea kidogo kipande kilicchobaki tahadhari ujiuji ukiwa mwepesi utakusumbua kwenye kupamba) baada ya hapo kama unataka kuweka rangi haya.
Keki aina zote kuanzia zile za birthday hadi zile za kawaida za kunywea chai au juice
Zipo humu ntakuekea link
Zipo humu ntakuekea link