Upambaji wa keki

Upambaji wa keki

Miss trinity

Member
Joined
Feb 18, 2014
Posts
95
Reaction score
24
Habarini wapendwa...naombeni msaada juu ya upambaji was keki coz kupika naweza sema kupamba sijui naombeni msaada wenu nataka nimpikie baby wangu karibia brtdy take so sitaki kununua nataka nimfanyie surprise
 
Miss trinity ...mm hua namfanyia mwanangu hivi.. nanunua nutella, self rising flour ya chocolate or cocoa flavour na smarties/m&m/malteasers then naipika cake vizuuri(haichukui muda) ikipoa naipaka nutella namwagia hizo m&m cake iko tayari kwa kukatwa...lol ...hio icing nahisi inahitaji utaalam na ina kazi kutengeza.....
 
Last edited by a moderator:
Icing sugar...
Limao nusu/zima.
Na ute wa mayai mawili.
changanya icing,ute wa yai na kipande cha limao(ukiona mzito sana ongezea kidogo kipande kilicchobaki tahadhari ujiuji ukiwa mwepesi utakusumbua kwenye kupamba) baada ya hapo kama unataka kuweka rangi haya.
 
Binafsi natamani ningejua hata kupika tu kupamba nafikiri unaweza ukajifunza kupitia you tube
 
Miss trinity ...mm hua namfanyia mwanangu hivi.. nanunua nutella, self rising flour ya chocolate or cocoa flavour na smarties/m&m/malteasers then naipika cake vizuuri(haichukui muda) ikipoa naipaka nutella namwagia hizo m&m cake iko tayari kwa kukatwa...lol ...hio icing nahisi inahitaji utaalam na ina kazi kutengeza.....

OK mmy thc alot ntanunua ntafany hvyo
 
Last edited by a moderator:
Icing sugar...
Limao nusu/zima.
Na ute wa mayai mawili.
changanya icing,ute wa yai na kipande cha limao(ukiona mzito sana ongezea kidogo kipande kilicchobaki tahadhari ujiuji ukiwa mwepesi utakusumbua kwenye kupamba) baada ya hapo kama unataka kuweka rangi haya.

Asante mmy so boksi zinaweza kuwa mbili au??cz niliwah kutumia na boksi moj kwa kutumia limai na ute nilitesek coz ilikuwa uji sana
 
Tuko wengi, icing sugar kipimo (kiasi)gani tafadhali?

Back
Top Bottom