Upande usioujua kujusu Aviator Game (Kandege)

Upande usioujua kujusu Aviator Game (Kandege)

Safi sana, Maelezo murua na yenye hoja za msingi.
hakika hili swala ni kweli kabisaa mkuu maan nimepunwa kitu kam 15k ndani ya muda mfupi ila baadae nikala kam 10k then kichwa kilikataa kutoa ile pesa baada ya hapo ni stress tu ni bora kusubiri dakika 90
 
Kila account is treated individual. Hapana.
Chukua simu 10 fungua account angalia. Zinaruka kwa pamoja na kutua pamoja zote
 
Back
Top Bottom