Labani og JF-Expert Member Joined Sep 15, 2020 Posts 19,637 Reaction score 29,473 Sep 19, 2024 #21 Daah ni hatari
Gily Gru JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 8,632 Reaction score 23,673 Sep 19, 2024 #22 Andazi
K Kumfumaster97 JF-Expert Member Joined Sep 18, 2024 Posts 354 Reaction score 372 Oct 21, 2024 #23 The Republican said: Safi sana, Maelezo murua na yenye hoja za msingi. Click to expand... hakika hili swala ni kweli kabisaa mkuu maan nimepunwa kitu kam 15k ndani ya muda mfupi ila baadae nikala kam 10k then kichwa kilikataa kutoa ile pesa baada ya hapo ni stress tu ni bora kusubiri dakika 90
The Republican said: Safi sana, Maelezo murua na yenye hoja za msingi. Click to expand... hakika hili swala ni kweli kabisaa mkuu maan nimepunwa kitu kam 15k ndani ya muda mfupi ila baadae nikala kam 10k then kichwa kilikataa kutoa ile pesa baada ya hapo ni stress tu ni bora kusubiri dakika 90
Ok9 JF-Expert Member Joined Oct 5, 2013 Posts 4,549 Reaction score 4,133 Oct 21, 2024 #24 Kila account is treated individual. Hapana. Chukua simu 10 fungua account angalia. Zinaruka kwa pamoja na kutua pamoja zote
Kila account is treated individual. Hapana. Chukua simu 10 fungua account angalia. Zinaruka kwa pamoja na kutua pamoja zote
SankaraBoukaka JF-Expert Member Joined Jul 2, 2019 Posts 1,213 Reaction score 1,918 Feb 13, 2025 #25 Ok9 said: Kila account is treated individual. Hapana. Chukua simu 10 fungua account angalia. Zinaruka kwa pamoja na kutua pamoja zote Click to expand... Kama zinatua kwa pamoja basi hakuna utapeli ila ni Algorithm za kijambazi..
Ok9 said: Kila account is treated individual. Hapana. Chukua simu 10 fungua account angalia. Zinaruka kwa pamoja na kutua pamoja zote Click to expand... Kama zinatua kwa pamoja basi hakuna utapeli ila ni Algorithm za kijambazi..
Ok9 JF-Expert Member Joined Oct 5, 2013 Posts 4,549 Reaction score 4,133 Feb 22, 2025 #26 SankaraBoukaka said: Kama zinatua kwa pamoja basi hakuna utapeli ila ni Algorithm za kijambazi.. Click to expand... Kubwa sana
SankaraBoukaka said: Kama zinatua kwa pamoja basi hakuna utapeli ila ni Algorithm za kijambazi.. Click to expand... Kubwa sana