Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Santos kasema umeme mdogo, frij hazigandishi 🤣🤣🤣Kwanza hata hainogi, lazima tu nitashare🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Santos kasema umeme mdogo, frij hazigandishi 🤣🤣🤣Kwanza hata hainogi, lazima tu nitashare🤣
Wewe sasa ndio umesema sahihi.Binadamu wengi hawana Dark Side bali wana Secret Side....
Dark Side ina maana hayo mambo ni forbiden..
Secret side ina maana hutaki mambo yako baadhi yajulikane, ila hata siku yakijulikana siyo issue mbele ya jamii...
Huenda kuna vitu kwenye maisha unavijua wewe tu au watu wa2 tu. Na hutaki wengine wajueInawezekana aje? Yan niwe na kitu nakijua me mwenyewe? Mbona kama sina? Au nina mdomo sana wa kuropoka [emoji1787][emoji1787]
Cc Lenie
Para paap!!!!Ni sahihi. Hata kutumia fake ID ni upande wetu wa giza. Siku wakikujua kama wewe ndio fulani unatumia fake ID nchi itatikisika.
Mkuu,
Hahaaa, kumbe wewe ndio mwakasege alafu unatuzuga huku kuwa ni atheist.Mkuu,
JF ina kanuni za kutotajana majina halisi bila idhini.
Usinitaje jina langu halisi hapa.
Nimesema usinitaje jina langu, sijasema mimi ndiye Mwakasege.Hahaaa, kumbe wewe ndio mwakasege alafu unatuzuga huku kuwa ni atheist.
[emoji16][emoji16]Mkuu,
JF ina kanuni za kutotajana majina halisi bila idhini.
Usinitaje jina langu halisi hapa.
Kwa sbb sina siri? HahaaaKwa maana hiyo maisha yako utabaki kuamuliwa na watu. Hakuna sehemu utasimama wewe kama wewe....
Katika kitu cha thamani kubwa mbele ya maadui zako ni zile siri zako.Kwa sbb sina siri? Hahaaa
Hivi kuna siri njema?
Pengine nina definition tofauti ya siri. Siri mimi naona ni ile kitu naijua mwenyewe. Only me. Sasa hapo mkuu ni ngumu… sjui unailewa point yangu?Katika kitu cha thamani kubwa mbele ya maadui zako ni zile siri zako.
Wakristo wameambiwa kwenye kitabu chao wasiwe wanahadithia hata ndoto wanazoota unajua ni kwa nini?
Watu wenye nguvu na wanaofurahia maisha ni watu wenye kutunza siri zao huku wakiwa wapo tayari kupeleleza siri za wengine.
Hata katika nchi, yale mataifa yanayotunza siri zao huku yakipeleleza siri za mataifa mengine ndio mataifa yenye kuweza kupanga hatma yao na ikapangika.
Unaweza kuwa na akili nyingi huku ukiwa ni mtu mwenye bahati lakini utaishia kuwa fukara kwa kosa moja tu la kutokujua kutunza siri.
Sehemu yoyote yenye furaha ujue kuna siri... Siri zako ndio utu wako
Umekuja kwenye point.Logic yako naielewa,, kitu ukikisema sema kabla hujakifanya kuna mawili, hutokifanya kabisa, au utachelewa sana kukifanya.
ulivyo liwa nasmart ile siodhambi au?Sina dhambi nying maana mnasingizia dark side wapi mnaficha midhambi
Nimecheka mnooo mnoooo...
Nimekumis pia rafikiNimecheka mnooo mnoooo...
Nimekumis rafiki... 😆 😆 😆 😆 😆 😆