Upande wa LB Zimbwe na CB Ouatarra unaenda kuwa UCHOCHORO wana SIMBA kupigwa nyingi

ryan riz

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
423
Reaction score
683
Ndugu zangu ukweli usemwe huyu Ouatarra mzito na hana speed bora babu Onyango..

Mohamed Hussein ana makosa mengi sana na huwa anachelewa kurudi tunaposhambuliwa..

Sasa yule wa kurekebisha makosa ndio mzito, mzembe na hana speed

Hata utopolo walitufunga tokana na hawa viazi wawili
 
Punguzeni lawama. Wale ni binadamu na si malaika. Inaelekea hamjui mnachotaka. Juzi tu mlikuwa mnasema ooh Onyango kazeeka, leo amekuwa lulu tena? Kiufupi watu kama wewe si mashabiki bali wavurugaji. Ukiona vipi tuletee hao wachezaji wako uwatakao.
 
Unyango pale angesababisha penalty na kadi nyekundu na yeye hana speed vile vile kumbuka kwa kisinda alichomfanyia akasababisha penalty.
 
Upo sahihi sana na vile Simba haina namba sita anaejielewa safari ya Afrika itaishia Angola
Ndugu zangu ukweli usemwe huyu Ouatarra mzito na hana speed bora babu Onyango..

Mohamed Hussein ana makosa mengi sana na huwa anachelewa kurudi tunaposhambuliwa..

Sasa yule wa kurekebisha makosa ndio mzito, mzembe na hana speed

Hata utopolo walitufunga tokana na hawa viazi wawili
 
Bado namtizama outarra vizuri, mpaka jana itakuwa ni game ya pili namuona, anakuja kuja halafu bado sijampitisha kiukweli.
 
Punguzeni lawama. Wale ni binadamu na si malaika. Inaelekea hamjui mnachotaka. Juzi tu mlikuwa mnasema ooh Onyango kazeeka, leo amekuwa lulu tena? Kiufupi watu kama wewe si mashabiki bali wavurugaji. Ukiona vipi tuletee hao wachezaji wako uwatakao.
Makosa ya Marcelo alikuwa anarekebisha Ramos na uchezaji wa Marcelo ni km wa zimbwe(unafaida kubwa na hasara kubwa pia) sasa wa kurekibisha hayo makosa ndio huyo OUATARRA,

Kiongoz usijifanye hauoni kuanzia leo anza kuangalia magoli anayofungwa simba hutokea upande gani? Japo huo huo upande ndio huzalishaga magoli mengi ya kufunga( kuna hasara kubwa na faida kubwa na ndio upande ambao mpira huchezwa muda mwingi)

Zimbwe ni mzuri tena mzur sana ila hakuna wa kurekebisha makosa yake..yaan akizungua tu ujuwe tayar tumewekwa..
Ndio maana CB Ouatarra anatakiwa aende na movement za Zimbwe sana kurekbsha makosa na huku sita yetu nayo kuwa mwepesi na kuangalia sana movement za hawa watu.
 
Uliona alivyopigwa tobo mechi na yanga alibaki amesimama,Kuna eneo beki apite mtu mpira ubaki au mpira upite mtu abaki Kwa kifupi kinachomeokoa Zimbwe ni kuwa anashambulia sana IA ukabaji wake una.madhaifu makubwa
 
Yaan outarra anajilinda kupewa kadi na kujisahau kuwa yeye ni beki...yaan inaonesha akiliwa kadi ya njano ndio hatakaba tena... na washambuliaji wakishajua udhaifu wake ndio watakuwa wanapitia sana kwake.. inonga na na kanoute namna wanavyowavaa wachezaji wa upinzan angalau huwajengea hofu ya kutokuja kwa kujiamini
 
Hakuna jambo linalonisikitisha kama Babu Onyango kuwekwa Benchi.
Huu ni ukweli mkuu huyu Ouattara sio beki mwenye kiwango kizuri cha kumuweka benchi Onyango ukiondoa footwork yake nzuri ni beki wa kawaida sana ukweli lazima tuseme na kama Onyango ataforce kuondoka na kubaki na huyu Ouattara mechi za Klabu bingwa haswa away zitakuwa ni kilio kikubwa kwetu
 
Y

Yaani ninyi mashabiki hata hamjui mnataka nini? Mmelia kuwa kiwango cha Onyango kimeshuka, haya management imewaletea beki mpya. Hata jioni haijafika mnaanza tena ooh, bora Onyango. Kuongoza binadamu kazi kwelikweli. Halafu kelele hizi sijui ni za nini? Katika mechi zote za msimu huu kuanzia simba day, timu imefungwa mara moja tu (na Yanga). Nyingine zote imeshinda. Kama mnataka Simba isifungwe kabisa, ushabiki wa mpira si mahali penu. Tupumzisheni na kelele zenu zisizokuwa na kichwa wala miguu.
 
Huu ni ukweli mkuu huyu Ouattara sio beki mwenye kiwango kizuri cha kumuweka benchi Onyango ukiondoa footwork yake nzuri ni beki wa kawaida sana ukweli lazima tuseme na kama Onyango ataforce kuondoka na kubaki na huyu Ouattara mechi za Klabu bingwa haswa away zitakuwa ni kilio kikubwa kwetu
Nina amini ,ile mechi ya Ngao ya jamii na utopolo angesimama Onyanygo na Inonga uto wasingetoka salama.

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom