Upande wa LB Zimbwe na CB Ouatarra unaenda kuwa UCHOCHORO wana SIMBA kupigwa nyingi

Upande wa LB Zimbwe na CB Ouatarra unaenda kuwa UCHOCHORO wana SIMBA kupigwa nyingi

Ndugu zangu ukweli usemwe huyu Ouatarra mzito na hana speed bora babu Onyango..

Mohamed Hussein ana makosa mengi sana na huwa anachelewa kurudi tunaposhambuliwa..

Sasa yule wa kurekebisha makosa ndio mzito, mzembe na hana speed

Hata utopolo walitufunga tokana na hawa viazi wawili
Nikweli unacho sema ila tuwape muda kidogo.

Hata Mzungu na Victor.. tuwape muda
 
Kwa kifupi nyie sio mashabiki ni wapita njia tuu...hamjui chochote kuhusu soka makosa kama hayo ni kawaida tu kwani nani hafanyi makosa.????

Mashabiki wa kweli hawatarajii kupata matokeo chanya kila siku coz hiyo sio football lazima kuna siku utapoteza coz wachezaji pia ni watu na sio mashine.

Kama unaona huwezi kuwa fan wa soka ni bora ukashabikia rede tu huko kuna kubutua butua tuu.
 
Back
Top Bottom