Upande wa LB Zimbwe na CB Ouatarra unaenda kuwa UCHOCHORO wana SIMBA kupigwa nyingi

Nikweli unacho sema ila tuwape muda kidogo.

Hata Mzungu na Victor.. tuwape muda
 
Kwa kifupi nyie sio mashabiki ni wapita njia tuu...hamjui chochote kuhusu soka makosa kama hayo ni kawaida tu kwani nani hafanyi makosa.????

Mashabiki wa kweli hawatarajii kupata matokeo chanya kila siku coz hiyo sio football lazima kuna siku utapoteza coz wachezaji pia ni watu na sio mashine.

Kama unaona huwezi kuwa fan wa soka ni bora ukashabikia rede tu huko kuna kubutua butua tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…