Jaribu kupima saratani ya Titi kwanza alafu nitafute tujue tuanasaidianajeMwenye kujua hili napata maumivu kama ya kidonda chini ya ziwa lakini nikijaribu kutafuta maumivu nayapata kwenye mbavu ya kwanza katikati nitakuwa nasumbuliwa na nini umri wangu miaka 25
Mwenyewe amesema upande was moyoNi kushoto au kulia
Cc: MziziMkavuMwenye kujua hili napata maumivu kama ya kidonda chini ya ziwa lakini nikijaribu kutafuta maumivu nayapata kwenye mbavu ya kwanza katikati nitakuwa nasumbuliwa na nini umri wangu miaka 25
KushotoNi kushoto au kulia
Ni chini ya ziwa ziwa haliumiJaribu kupima saratani ya Titi kwanza alafu nitafute tujue tuanasaidianaje
Hapaumi kila siku kuna siku na sikuJaribu kupima saratani ya Titi kwanza alafu nitafute tujue tuanasaidianaje
Yes kuna baadh ya watu walinambia ivyo but sijapimaVidonda vya tumbo hivyo
Ndio maana nikasema yakupasa ukapime kwanza tujue tunaanzia wapiHapaumi kila siku kuna siku na siku
Sawa enx kwa ushauriNdio maana nikasema yakupasa ukapime kwanza tujue tunaanzia wapi
Sawasawa kabisaVidonda vya tumbo hivyo
Gesi ilinisumbua sana kwa miezi mingi kila nikila chakula hata kama ni kidogo tumbo linajaa sana ilivyoisha hali ya gesi ndo pameanza kuniuma chini ya ziwa upande wa kushotoUlishawahi ugua vidonda vya tumbo??
Itakuwa gas...nenda kapime.