red apple
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 778
- 1,212
Nenda kachek hospital, nilikuwa na the same case,kwa upande wangu dr aligundua gas ndo inanisumbua...Gesi ilinisumbua sana kwa miezi mingi kila nikila chakula hata kama ni kidogo tumbo linajaa sana ilivyoisha hali ya gesi ndo pameanza kuniuma chini ya ziwa upande wa kushoto