Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Kwenye masuala ya kibiashara na projects za miundombinu Mchina kaiteka AfrikaKuongeza ushawishi ni jambo endelevu, kuna maeneo China amejitahidi lakini overall Marekani ana ushawishi wa hali ya juu mno nchini.