Upande wa Pili wa Rose Muhando

Anaweza akawa anatumia kweli, maana amekuwa na troubled life alafu anaonekana kama mgomvi, flani hivi,
haya ukijumlisha na stress zinazoletwa na u super star unakuwa una face pressure kubwa sana na kutumia madawa ni nje nje
Mungu wake amsaidie
 
Sio kila kitu lazma mcomment jaman..vingine hamjui kiundani mbona inatosha tuu ukisoma ju juu ukapita kila siku mnaambiwa shida ya rose na msam.a
 
Ulipo tupo dada. Big up!
 
Hakuna linaloshindikana kwa Mungu wetu. Vita dhidi ya yule mshtaki wetu vyaweza kuwa vikali lakini ushindi kwetu ni dhahiri. Mungu unayemtumikia Atakuinua mtumishi. Bila kujali maneno ya watu simama ukaviendeleze vita. Mungu na Akubariki sana wewe pamoja na wapendwa wako na kazi yako ya kumwimbia Muumba wako. Amen!
 
wWatu huko makwenu mnafa mabaya na yahatari ila mnasema ya huyu bingiri bingiri zenu mnakaa nazo kimya 😵
 
inaitwa tactile hallucination, typical anatumia ng'ada
 
Sio kitu kizuri kudanganya umati . ...ita catch up with you one day aisee!
 
Hii habari ni ya siku Nyingi sana, imeletwa Leo kama vile ni ya DISEMBA HII YA 2016
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…