habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,791
- 8,749
ha ha ha binamu nyama ya hamalafu binamu wewe nawe unakula ngada wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha ha ha binamu nyama ya hamalafu binamu wewe nawe unakula ngada wewe
Anaweza akawa anatumia kweli, maana amekuwa na troubled life alafu anaonekana kama mgomvi, flani hivi,
haya ukijumlisha na stress zinazoletwa na u super star unakuwa una face pressure kubwa sana na kutumia madawa ni nje nje
Mungu wake amsaidie
Aende akafanyiwe maombi kama kweli anajipenda.Anaweza akawa anatumia kweli, maana amekuwa na troubled life alafu anaonekana kama mgomvi, flani hivi,
haya ukijumlisha na stress zinazoletwa na u super star unakuwa una face pressure kubwa sana na kutumia madawa ni nje nje
Mungu wake amsaidie