Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,515
- 28,506
habari ni ya siku nyingi kumbe, ni ya lini?Hii habari ni ya siku Nyingi sana, imeletwa Leo kama vile ni ya DISEMBA HII YA 2016
mrangi njoo huku ulituambia huyu mama unamkuta nyuma ya kituo cha mabasi ya mwendokasi kwa mwanamboka ila yeye anasema yupo Dodoma
Sielewi
Vipi dada ? Ni wapi nimeongelea hii habari ni ya siku nyingi ?habari ni ya siku nyingi kumbe, ni ya lini?
Kweli mchawi mtu paka anatumwa tu...Hata wakina Chid Benz na Ray C walikuwa wanakataa hivi hivi lakini mwisho ikawa ni kwwli, uzuri huwa halifichiki.
Mwisho wa siku tutajua tu.
Sio chuki binafsi nenda dodoma kanisani pale anglican utapata habari zake zote mbona hakuna siriChuki binafsi hazifai
ππKwa mbaaali kwenye mikono yake kuna alama za kupenyezea ile sindano yao
Ulitaka awe mnafiki wakati huo ndio ukweli?hahaha kumbe na muziki wa injir nao una mashabiki? haya mama endelea kuwafurahisha MASHABIKI wako hata kama huo muziki wako unamwudhi MUNGU.
Hapo sasaππ
nimefurahi kusikia hivyo
me ni shabiki wake mwaminifu,
alipo nipo kwa kweli
lkn nyimbo zake zinabariki binam,Kwa hiyo sura huyo rose anakula ngada
alafu binamu wewe nawe unakula ngada wewelkn nyimbo zake zinabariki binam,