Upande wa Pili wa Rose Muhando

Anaweza akawa anatumia kweli, maana amekuwa na troubled life alafu anaonekana kama mgomvi, flani hivi,
haya ukijumlisha na stress zinazoletwa na u super star unakuwa una face pressure kubwa sana na kutumia madawa ni nje nje
Mungu wake amsaidie

Aende akafanyiwe maombi kama kweli anajipenda.
Bwn Yesu atamponya asifikiri ni michezo ya kuigiza.
Bwn anaponya akajinyenyekeze na kujishusha kwa Bwn!!
Jesus is Lord!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…