Accidental Genius
Senior Member
- Aug 17, 2019
- 154
- 188
Ndio kwa wale wenye shida ya moyo..Huu moyo unapandikizwa kwa wagonjwa wa moyo au?
Achen kubebesha moyo kaz zszo zake..Ndo mtu kuanza kuwa na tabia za kinguruwenguruwe,
BTW, huo moyo 'utapenda' au utasukuma damu tu
Maamuz ni yako,ufe or uwekewe moyo uishi.Mmh! Moyo wa nguruwe tenaa... lol! Kama moyo wa nyoka sawa... ila sio nguruwe
Kuna boss wangu somewhere alikuwa anatumia kiungo kimojawapo changuruwe sikumbuki vizuri kama ni moyo ama kitu kingine. Utaalamu huu ni wa tangia zamani maana hiyo ilikuwa miaka ya mwisho ya 90.Wanasayansi kutoka Marekani na Ujerumani wamesema chini ya kipindi cha miaka 3, wataanza kutumia Moyo wa Nguruwe kuokoa maisha ya binadamu ambao wanahitaji moyo ili kuishi.
Majaribio ya kupandikiza moyo wa nguruwe kwa nyani yamefaulu kwa zaidi ya miaka miwili na wanasayansi hao wanaamini utakuwa salama kwa binadamu.
Upandikizaji wa moyo wa nguruwe unaweza kuokoa maisha ya wengi ambao hufariki kila mwaka kutokana na ukosefu wa viungo vya binadamu kwa upandikizaji.
Ndugu zangu waislamu niongeze volume au inatosha???View attachment 1187340
hahaaaaa hahaha hahaha, sawa mkuuAchen kubebesha moyo kaz zszo zake..
Kaz yake kusukuma damu tuuu..
Vingne hvyo kiherehere chenu tu.
Heeee...ndo naskia toka kwako..makanisa nayo yana huu ubaguzi na ignorance???Kama Yehova witness hawataki kuchangiwa damu na dini nyingine zitaridhia kuwekewa moyo wa nguruwe?
Kabisa mkuu.Kimuingiacho mtu si najisi bali kimtokacho!!
Wapandikize tu hata macho kwa vipofu ruksaaaaa!
Ooh ya Jehova witness hawakubali kuchangiwa damu.Heeee...ndo naskia toka kwako..makanisa nayo yana huu ubaguzi na ignorance???
Ni kweli aisee...lakini kwa huku kwetu hii teknolojia bado haijawekwa kama altenative rasmi...Kuna boss wangu somewhere alikuwa anatumia kiungo kimojawapo changuruwe sikumbuki vizuri kama ni moyo ama kitu kingine. Utaalamu huu ni wa tangia zamani maana hiyo ilikuwa miaka ya mwisho ya 90.
Utaskia moyo wangu unaumia juu yako!!!hahaaaaa hahaha hahaha, sawa mkuu
Na mtakufa sanaaaKwa sie ambao imani yetu haichangamani na huyo mnyama, bora kufa tu!!!
Dah asante nimeongeza kitu...kwahyo ni bora wafe tu?Ooh ya Jehova witness hawakubali kuchangiwa damu.